Connect with us

Others

Mambo 7 ambayo Wanaume WENGI HUAMINI, Lakini Si Ya Kweli

Avatar

Published

on

MAMBO 7 AMBAYO WANAUME WENGI HUAMINI, LAKINI SI YA KWELI

Afya ya Uzazi si Uvumi,ni sayansi. Haya ni baadhi ya makosa yanayofanywa na wanaume wengi:

❌1. “Mwanaume hawezi kuwa na tatizo la uzazi.”
➡️ Fahamu matatizo ya Ugumba kwa wanandoa yanahusisha sababu za mwanaume pia sio Mwanamke Pekee,hivo usiangaliwe upande mmoja pekee wa Kike.

❌ 2. “Nikionekana mwenye nguvu, basi mbegu zangu ni bora.”
➡️ Nguvu za mwili au misuli haziwezi kuonyesha ubora wa mbegu za kiume. Vipimo vya hospitali ndiyo vinaweza kuthibitisha ubora wa mbegu zako.

❌ 3. “Nikikosa nguvu za kiume, dawa za mitaani ndizo suluhisho pekee.”
➡️ Dawa nyingi zisizoidhinishwa zinazotumiwa hovio Mtaani zinaweza kuwa hatari na kuongeza zaidi ukubwa wa tatizo hili.

❌ 4. “Uzazi wa mpango ni jukumu la mwanamke pekee.”
➡️ Wanaume wana nafasi muhimu sana kushirikiana na Wenza wao kwenye habari ya kupanga Uzazi pia.

NB:Usiamini kila unachosikia. Elimu sahihi inaweza kukusaidia kulinda afya yako na familia yako.

📩 Una swali kuhusu nguvu za kiume, uzazi au afya ya uzazi? Tuma DM #+255758286584? kwa ushauri wa kitaalamu.

References;

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

Karibu Afyaclass Jukwaa linaloongoza kwa utoaji wa elimu sahihi ya Afya. Hapa utapata Elimu na Updates mbali mbali za Afya Duniani. Pia Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia Mitandao hii hapa: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa ya Zinaa2 weeks ago

Ugonjwa wa Genital herpes,chanzo,dalili na Tiba

HERPES SEHEMU ZA SIRI: DALILI, NAMNA INAVYOAMBUKIZWA, KINGA NA MATIBABU Herpes sehemu za siri (Genital herpes) ni maambukizi ya zinaa...

magonjwa1 day ago

Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba

Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba Hepatitis C ni nini? Hepatitis C ni ugonjwa unaosababisha kuvimba na kuharibika kwa...

Uzazi&Ujauzito2 years ago

Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya ujauzito

Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya ujauzito. Fahamu Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili...

Ebola1 day ago

Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya

Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya Takriban wafanyakazi 5,000 wa sekta ya afya wamepewa mafunzo ya jinsi ya...

Ebola1 day ago

Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke kupatikana na Ebola katika eneo la FCT

Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke kupatikana na Ebola katika eneo la FCT Oktoba 20,...

Ebola1 day ago

Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja

Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja, baada ya mwanamke aliyewasili kutoka Uganda kukutwa na virusi vya ugonjwa...

Ukimwi2 days ago

Maambukizi ya virusi vya ukimwi

Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (Vvu): Njia Za Maambukizi Na Namna Ya Kujikinga Virusi vya UKIMWI (VVU) ni nini? Virusi...

magonjwa2 days ago

Maambukizi ya bakteria wa shigella: dalili, njia za maambukizi, Matibabu Na Kinga

Shigella ni aina ya bakteria wanaosababisha ugonjwa unaojulikana kama shigellosis, ambao huathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, hasa utumbo mpana....

magonjwa ya wanaume4 days ago

Mwanaume kushindwa kutungisha mimba

Tumezoea kwenye jamii Zetu Mara nyingi linapokuja Swala la kutokupata Mtoto,Lawama zote ni kwa Mwanamke,Lakini fahamu hata mwanaume anaweza kuwa...

Stars Health3 days ago

Papa aanza kurejea taratibu katika majukumu yake baada ya upasuaji wa Saratani ya Mapafu

Vatican, Oktoba 18, 2026 — Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani mwenye umri wa...