Connect with us

magonjwa ya wanawake

PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake)

Doctor Ombeni

Published

on

105 Views
0 Comments

 PID

• • • • •

PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake)

PID NI NINI? 

PID ni maambukizi ya Bacteria kwenye via vya Uzazi vya mwanamke, ambapo hicho ni kifupi cha Maneno haya”Pelvic inflammatory Disease”

TATIZO HILI LINA DALILI ZIPI?

Hizi hapa ni baadhi ya Dalili za Ugonjwa wa PID kwa Wanawake;

– Mwanamke Kupata maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu

– Mwanamke kutoa damu wakati na baada ya tendo la Ndoa

– Mwanamke kutoa uchafu wenye rangi kama ya njano n.k

– Mwanamke kutoa uchafu wenye harufu mbaya ukeni

– Kutoa maji maji sehemu za siri mara kwa mara

– Mwanamke kublid katikati ya mwezi

– Mwanamke kupata maumivu  makali wakati wa tendo la Ndoa

– Joto la mwili kupanda au mgonjwa kuwa na homa

– Pia kwa baadhi ya wanawake hupata maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara, na kupata shida ya kutoa mkojo

N.k

CHANZO CHA TATIZO LA PID

Ugonjwa wa PID husababishwa na BACTERIA ila magonjwa kama Gonorrhea pamoja na Chlamydia huchangia sana uwepo wa Tatizo hili

MATIBABU YA UGONJWA WA PID

– Ugonjwa huu au tatizo hili la PID hutibiwa kwa dawa mbali mbali,

Na matibabu haya ni vizuri kufanyika kwa mwanamke pamoja na mwanaume ambaye anashiriki naye tendo la ndoa,ili kuepusha tatizo kujirudia tena.

mwanamke mwenye tatizo la PID hushauriwa kutokufanya mapenzi mpaka apone.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

105 Views
0 Comments

Medical Disclaimer

Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

LATEST POSTS

magonjwa ya wanawake5 years ago

PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake)

 PID • • • • • PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake) PID NI NINI?  PID...

afyatips18 hours ago

Dalili za kidonda cha operation kupona

DALILI ZA KIDONDA CHA OPERATION KUPONA Baada ya kufanyiwa operation, mwili huanza mchakato wa kuponya kidonda mara moja. Mchakato huu...

Utafiti20 hours ago

Desogestrel yahusishwa na Kuongezeka kwa Hatari ya uvimbe wa ubongo

Mamlaka ya Dawa na Bidhaa za Afya ya Ufaransa (ANSM) imewaonya wanawake wanaotumia baadhi ya njia za uzazi wa mpango...

magonjwa5 years ago

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba)

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba) Huu ni ugonjwa ambao kwa kitaalam hujulikana kama brucellosis na chanzo chake ni bacteria wanaojulikana...

magonjwa ya watoto2 years ago

Ugonjwa wa Surua kwa Watoto: Sababu, Dalili, Matibabu na Kinga

Ugonjwa wa Surua kwa Watoto: Sababu, Dalili, Matibabu na Kinga Ugonjwa wa Surua ni ugonjwa wa kuambukiza sana kwa watoto...

Afya News2 days ago

Vifo vya Watoto Wachanga Katika Mlipuko wa Surua Pennsylvania na Mjadala wa Afya ya Umma

Mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) unaoendelea katika jimbo la Pennsylvania, Marekani, umeendelea kuzua wasiwasi mkubwa baada ya watoto wawili...

Afya News2 days ago

Wauguzi Kenya Wasitisha Mgomo Baada ya Makubaliano na Serikali

Wauguzi nchini Kenya wamesitisha mgomo wao wa siku 43 baada ya kufikia makubaliano na serikali kupitia chama chao cha wafanyakazi....

WHO3 days ago

Uvutaji Sigara Unaongeza Uwezekano wa Ugumba

Uvutaji Sigara Unaongeza Uwezekano wa Ugumba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa matumizi ya tumbaku yana athari kubwa kwa...

magonjwa ya wanaume1 year ago

Dalili za Gono Sugu kwa Mwanaume (Gonorrhea sugu)

Gono sugu ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na bakteria aitwaye Neisseria gonorrhoeae, ambayo yamekuwa yakujirudia rudia na hayaponi kwa baadhi...

Uzazi/Ujauzito4 days ago

Madhara ya Sindano ya depo,Fahamu hapa

Madhara ya Sindano ya Depo (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) Sindano ya Depo-Provera (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) ni mojawapo...

106
0