Connect with us

afyatips

MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI pamoja na Sababu hatarishi za kupata Fangasi hawa

Doctor Ombeni

Published

on

78 Views
0 Comments

 FANGASI WA NGOZI

• • • • •

MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI


Haya hapa ni makundi ya Baadhi ya Fangasi ambao kwa kiasi kikubwa sana hushambulia eneo la Ngozi;


•Soma:Chanzo cha Maumivu makali ya Tumbo


  • Ngozi ya mwili mzima-Ringworm of the body (tinea corporis) …


  • Ngozi eneo la miguuni-Athlete’s foot (tinea pedis) …

  • Jock itch (tinea cruris) …

  • Ngozi eneo la kichwani-Ringworm of the scalp (tinea capitis) …

  • Tinea versicolor. …

  • Cutaneous candidiasis. …

  • Onychomycosis (tinea unguium)
N.k


SABABU HATARISHI  ZA KUPATA FANGASI WA KWENYE NGOZI

Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kukuweka katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya fangasi wa kwenye ngozi.  Hii ni pamoja na:
 – kuishi katika mazingira ya joto au ya mvua
– Kuwa na tatizo la kuvuja jasho jingi mwilini
 – kutokuweka ngozi yako katika mazingira ya usafi na ukavu muda wote
 – kushirikiana vitu kama nguo, viatu, taulo, au mashuka ya kulalia na watu wengi
 – kuvaa mavazi ya kubana au viatu ambavyo haviruhusu hewa kupita vizuri
 – kushiriki katika shughuli zinazojumuisha kugusana mara kwa mara na ngozi
– kuwa na ushirika wa karibu sana na wanyama ambao wanaweza kuambukizwa Fangasi hawa wa Ngozi
 – kuwa na kinga dhaifu kutokana na sababu mbali mbali kama vile; matumizi ya baadhi ya dawa, matibabu ya saratani, au ugonjwa kama UKIMWI n.k



•Soma:Chanzo cha Maumivu makali ya Tumbo



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





78 Views
0 Comments

Medical Disclaimer

Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

LATEST POSTS

magonjwa ya wanawake5 years ago

PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake)

 PID • • • • • PID NI NINI? Na Dalili zake ni Zipi?(magonjwa ya Wanawake) PID NI NINI?  PID...

afyatips19 hours ago

Dalili za kidonda cha operation kupona

DALILI ZA KIDONDA CHA OPERATION KUPONA Baada ya kufanyiwa operation, mwili huanza mchakato wa kuponya kidonda mara moja. Mchakato huu...

Utafiti21 hours ago

Desogestrel yahusishwa na Kuongezeka kwa Hatari ya uvimbe wa ubongo

Mamlaka ya Dawa na Bidhaa za Afya ya Ufaransa (ANSM) imewaonya wanawake wanaotumia baadhi ya njia za uzazi wa mpango...

magonjwa5 years ago

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba)

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba) Huu ni ugonjwa ambao kwa kitaalam hujulikana kama brucellosis na chanzo chake ni bacteria wanaojulikana...

magonjwa ya watoto2 years ago

Ugonjwa wa Surua kwa Watoto: Sababu, Dalili, Matibabu na Kinga

Ugonjwa wa Surua kwa Watoto: Sababu, Dalili, Matibabu na Kinga Ugonjwa wa Surua ni ugonjwa wa kuambukiza sana kwa watoto...

Afya News2 days ago

Vifo vya Watoto Wachanga Katika Mlipuko wa Surua Pennsylvania na Mjadala wa Afya ya Umma

Mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) unaoendelea katika jimbo la Pennsylvania, Marekani, umeendelea kuzua wasiwasi mkubwa baada ya watoto wawili...

Afya News2 days ago

Wauguzi Kenya Wasitisha Mgomo Baada ya Makubaliano na Serikali

Wauguzi nchini Kenya wamesitisha mgomo wao wa siku 43 baada ya kufikia makubaliano na serikali kupitia chama chao cha wafanyakazi....

WHO3 days ago

Uvutaji Sigara Unaongeza Uwezekano wa Ugumba

Uvutaji Sigara Unaongeza Uwezekano wa Ugumba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa matumizi ya tumbaku yana athari kubwa kwa...

magonjwa ya wanaume1 year ago

Dalili za Gono Sugu kwa Mwanaume (Gonorrhea sugu)

Gono sugu ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na bakteria aitwaye Neisseria gonorrhoeae, ambayo yamekuwa yakujirudia rudia na hayaponi kwa baadhi...

Uzazi/Ujauzito4 days ago

Madhara ya Sindano ya depo,Fahamu hapa

Madhara ya Sindano ya Depo (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) Sindano ya Depo-Provera (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) ni mojawapo...

79
0