Others
Papai linaweza kusaidia kwa Maumivu ya hedhi kwa Mwanamke
Papai linaweza kusaidia kwa Maumivu ya hedhi kwa Mwanamke
Papai lina vimeng’enya asilia(natural enzymes) kama vile papain ambavyo vinaweza kusaidia kudhibiti mtiririko wa damu wakati wa hedhi na kupunguza usumbufu unaohusiana na maumivu ya tumbo au mizunguko isiyo ya kawaida.
Linapotumiwa kwa kiasi, mara nyingi hujumuishwa katika lishe za asili kwa ajili ya kuleta ahueni kwa usumbufu unaohusiana na hedhi.
Tunda hili pia husaidia usawa wa estrojeni, ambapo ni muhimu katika udhibiti wa tatizo la homoni Imbalance na kusaidia mzunguko wa hedhi kuwa Sawa.
Utafiti wa Indonesian Journal of Obstetrics and Gynecology ulionyesha kuwa matumizi ya papai yalihusishwa na maboresho ya mzunguko wa hedhi kwa baadhi ya wanawake waliokuwa wakitumia DMPA(Depot Medroxyprogesterone Acetate),Au kwa Kifupi Depo Injection, Sindano za uzazi wa mpango.
Chanzo;
https://inajog.com/index.php/journal/article/view/2303
Chat Nasi Whatsapp
"Ungana na Wasomaji zaidi ya 12,000 wanaopata huduma ndani ya afyaclass,Kama unachangamoto yoyote ya kiafya;Kwa Ushauri&Tiba tuwasiliane hapa kupitia WhatSapp,Kama huna Whatsapp tuma SMS au Piga +255758286584."
Chat WhatSapp HapaMedical Disclaimer
Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.
Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?
💬 Wasiliana na Daktari Hapa
_1.jpeg)