Stars Health
Upasuaji wa Papa umefanikiwa,baada ya kugunduliwa Saratani ya mapafu
Papa Leo XIV aligunduliwa kuwa na saratani ya mapafu lakini alifanyiwa upasuaji uliofanikiwa kuondoa sehemu ya chini ya pafu lake la kulia, Vatican imesema katika jarida la kimatibabu.
Papa mwenye umri wa miaka 71 alifanyiwa upasuaji wa dakika 90 siku ya Jumanne katika Hospitali ya Gemelli ya Rome na baadaye akagundulika kuwa na ugonjwa wa mapafu unaoitwa adenocarcinoma.
“Operesheni ilifanikiwa na hakukuwa na matatizo yoyote,” Vatican ilisema. “Baada ya upasuaji, Papa aliamka kawaida na akarudi chumbani mwake baada ya kipindi kifupi cha uchunguzi chumbani,” iliongeza.
Uvimbe huo uligunduliwa kwa mara ya kwanza wakati wa kile ambacho Vatican imekielezea kama “uchunguzi wa kawaida”. Papa anatarajiwa kubaki hospitalini kwa takriban wiki moja.
Hapo awali, umati mkubwa wa watu ulisubiri kwa saa nyingi nje ya hospitali kwa ajili ya Papa.
Walishangilia kwa salamu na matakwa kheri alipopita, huku akipunga mkono na kutabasamu kupitia dirisha la nyuma la gari lake.
Chat Nasi Whatsapp
"Ungana na Wasomaji zaidi ya 12,000 wanaopata huduma ndani ya afyaclass, Kama unachangamoto yoyote ya kiafya; Kwa Ushauri&Tiba tuwasiliane hapa kupitia WhatsApp, Kama huna Whatsapp tuma SMS au Piga +255758286584."
Chat WhatSapp HapaKisha akakutana na wafanyakazi wa hospitali kwenye ngazi za hospitali. “pole,” mmoja wao alisikitika, ambapo Papa alitabasamu na kuinua mabega. “Tuko hapa kwa ajili yako,” alimhakikishia.
Katika taarifa yake, Vatican ilisema sehemu yote ya chini ya pafu la kulia la Papa iliondolewa “ili kuhakikisha matibabu yanafanyika ipasavyo”.
Chanzo cha habari cha Vatican kiliambia shirika la habari la Agence France-Presse kwamba vipimo zaidi vinafanyika ili kuona kama kulikuwa na ishara yoyote kwamba saratani ilikuwa imeenea.
Ni Papa Leo XIV mwenyewe ambaye Jumapili alitangaza habari za operesheni yake kwa ulimwengu, akizungumza kutoka kwenye roshani katika Uwanja wa St Peter baada ya kutoa baraka ya kawaida. Via #BBC
Ushauri,Elimu,Tiba
Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.
Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?
💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)
Bertina John
October 14, 2026 at 5:15 pm
Pole sana