Hatari ya Mlipuko wa Surua,kwa watoto kukosa kinga dhidi ya ugonjwa wa surua Janga la Uviko -19 lilitatiza utoaji wa chanjo za kawaida dhidi ya ugonjwa...
Kwa nini hatari ya kupata saratani huongezeka kadri umri unavyoongezeka? Utambuzi wa saratani ya Mfalme Charles III ulikuwa na athari kote ulimwenguni, kuanzia na tangazo lisilo...
Fahamu Uvimbe mwilini unaweza kusababisha magonjwa katika mfumo wa usambazaji wa damu kwenye ubongo. Katika makala hii tunachambua Jinsi Uvimbe wa kudumu unavyoweza kuathiri vibaya afya...
Tafiti zote zinazohusu chakula na lishe kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara Na. WAF – Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuweka sharti kwa kufanya...
Richard Scolyer: Daktari wa Melanoma(Saratani) nini anafanya kutibu saratani ya ubongo wake mwenyewe Melanoma; “Hii ni Aina mbaya zaidi ya saratani ya ngozi”. Mwanapatholojia Richard Scolyer...
Una dalili zote za COVID-19 lakini ukipima hauna Ugonjwa. JN.1, lahaja kuu kwa sasa ya COVID-19 inayochangia takriban asilimia 86% ya aina zote zinazozunguka za SARS-CoV-2,...
Zaidi ya mwanamke 1 kati ya 3 duniani mara nyingi hukutwa na matatizo ya kiafya pindi wanapojifungua hii inaweza kutokea ndani ya mwezi kulingana na utafiti...
Wanasayansi waanza utafiti wa athari za taka za plastiki Antaktika Wanasayansi wa IAEA waanza utafiti wa athari za chembechembe za taka za plastiki Antaktika, Shirika la...
Watafiti wamegundua uhusiano kati ya matumizi ya simu za mkononi na kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume za uzazi kwa vijana. Je, unapaswa kuhofia? Soma...
Wanadamu kufanya ngono na spishi iliyotoweka miaka 60,000 iliyopita sababu ya watu kuteseka na afya ya akili, utafiti unadai. Wanadamu waliofanya ngono na spishi ndogo ambazo...
Utafiti mpya kutoka Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (UCLA) umechunguza aina tofauti za mionekano ya uso ambazo paka hutumia kuwasiliana wao kwa wao. Pia waligundua...
#Tanzania: Utafiti mpya uliofanywa nchini Tanzania kuhusu hali ya UVIKO-19, umebaini kuwa watu 476 walifariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika kipindi cha Januari 2021 hadi...
Kutembea inaweza ikawa ni mtihani mkubwa kwa watu ingawa ni muhimu sana katika afya kulingana na utafiti mpya. Uchunguzi wa zaidi ya watu 226,000 duniani kote...
Watu walio na pumu wana hatari kubwa ya kupata aina mbalimbali za saratani isipokuwa saratani ya mapafu, saratani ya ngozi (melanoma), saratani ya damu, figo na...
WHO Yatoa Milioni 855 Kwaajili Ya Utafiti Wa Kitaifa Wa Viashiria Vya Magonjwa Yasiyoambukiza Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha za kitanzania milioni 855...
Dawa ya Kisukari Metformin Inapunguza Hatari ya kupata COVID ya Muda mrefu, Utafiti Unasema Metformin, dawa ambayo hutumiwa kwenye matibabu ya kisukari aina ya 2(type 2...
Je! HPV Inaweza Kusababisha Saratani ya Matiti? Utafiti Unaonyesha Virusi vya Human papiloma(HPV) vimehusishwa na aina tofauti za saratani, Karibu saratani zote za shingo ya kizazi,...
Matumizi ya Multivitamin Kila Siku huboresha Kumbukumbu kwa Wazee: Utafiti Watu wazee ambao walitumia multivitamin kila siku kwa mwaka walionekana kuzuia kuzeeka kwa akili kwa miaka...
Utafiti:Uhusiano wa Mtu kusafiri pamoja na kuwa na afya bora zaidi, Mbali na changamoto nyingi ambazo zipo kwa Sasa duniani ikiwemo changamoto ya magonjwa kama vile...