Connect with us
KIPYA • AFYACLASS EYE Page Yote →

Madai Mengi ya Afya Si Sahihi — Tunachunguza & Kutoa Ukweli

AfyaClass Eye inachambua madai potofu ya jamii kuhusu afya na kutoa majibu sahihi ya kitaalamu.

MAKALA YA KWANZA • Afyaclass Eye Je ni kweli majivu huzuia mimba?
Soma ›
Jifunze ukweli kuhusu madai mengine ya afya: Fungua AfyaClass Eye →

Hospital

Zaidi ya watu milioni 4.7 duniani kote hupoteza maisha kila mwaka kutokana na UVIDA

Avatar

Published

on

43 Views
0 Comments

Zaidi ya watu milioni 4.7 duniani kote hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tatizo la Usugu wa Vimelea Dhidi ya Dawa (UVIDA), hali inayotajwa kuwa tishio kubwa kwa afya ya jamii na maendeleo ya binadamu iwapo hatua madhubuti hazitachukuliwa kudhibiti matumizi holela ya dawa.
‎
‎Hayo yameelezwa na Mfamasia kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Atugonza Kyaruzi, wakati hospitali hiyo ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya Uelimishaji kuhusu Usugu wa Vimelea Dhidi ya Dawa Duniani (World AMR Awareness Week).
‎
‎Akizungumza wakaki akitoa elimu kwa umma, Kyaruzi amefafanua kuwa UVIDA hutokea pale vimelea vya magonjwa kama vile bakteria, virusi, fangasi na vimelea vya malaria vinapobadilika na kushindwa kuathiriwa na dawa ambazo awali zilikuwa zikivitibu.
‎
‎”Uvida kwa sasa ni changamoto na janga la kidunia, kwani takwimu zinaonesha mpaka sasa kuna vifo milioni 4.7 duniani kote, ambapo zimesababishwa na UVIDA na tafiti zinaonesha kama hatuta chukua hatua stahiki ifikakapo 2050 kutakuwa na vifo milioni 10″
‎
‎Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa zaidi ya watu milioni 4.7 hupoteza maisha kila mwaka kwa sababu ya UVIDA. Chanzo kikuu cha tatizo hili ni tabia ya baadhi ya wananchi kutumia dawa holela bila kufanyiwa vipimo wala kupata ushauri wa wataalamu wa afya, pamoja na kutokumaliza dozi wanazopangiwa,” amesema Kyaruzi.
‎
‎Aidha, Mfamasia huyo ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujinunulia dawa kiholela madukani au kushirikishana dawa majumbani pindi wanapohisi dalili za ugonjwa, na badala yake wafike katika vituo vya kutolea huduma za afya ili wapate uchunguzi wa kitaalamu na tiba sahihi.
‎
‎Vilevile, amewakumbusha watumishi wa afya na jamii kwa ujumla kuzingatia namna sahihi ya matumizi ya dawa, ili kuondoa uwezekano wa mtu kupata changamoto zitokanazo na UVIDA.

Chanzo: mwananyamalarrh

43 Views
0 Comments
✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

Karibu Afyaclass Jukwaa linaloongoza kwa utoaji wa elimu sahihi ya Afya. Hapa utapata Elimu na Updates mbali mbali za Afya Duniani. Pia Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia Mitandao hii hapa: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

LATEST POSTS

Afyaclass Eye3 hours ago

Je ni kweli majivu huzuia mimba?

Je ni kweli majivu yanaweza kuzuia mimba? Afyaclass Eye tumefanya uchambuzi kuhusu dhana hii ya kutumia majivu kuzuia mimba, na...

Hospital5 hours ago

Zaidi ya watu milioni 4.7 duniani kote hupoteza maisha kila mwaka kutokana na UVIDA

Zaidi ya watu milioni 4.7 duniani kote hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tatizo la Usugu wa Vimelea Dhidi ya...

Story6 hours ago

Mauaji ya wanawake Afrika Kusini yameshamiri

Mauaji ya wanawake Afrika Kusini yameshamiri Takriban wanawake 581 wameuawa nchini Afrika Kusini katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Julai...

magonjwa2 years ago

Tatizo La Bandama Kuvimba Au Kujaa Maji,chanzo,Dalili Na Tiba

TATIZO LA BANDAMA KUVIMBA AU KUJAA MAJI,CHANZO,DALILI NA TIBA Bandama ni kiungo muhimu katika mfumo wa limfu na kinga ya...

magonjwa ya wanawake3 days ago

Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu

Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate damu ya hedhi kuanzia siku 3 mpaka...

Story11 hours ago

Mungu amenifanya nicheke baada ya miaka 7 ya dhihaka – Mwanamume wa Nigeria afurahia kuwa baba

Mungu amenifanya nicheke baada ya miaka 7 ya dhihaka – Mwanamume wa Nigeria afurahia kuwa baba Mwanamume mmoja kutoka Nigeria,...

Stars Health12 hours ago

Princess Kate Afunguka Jinsi Saratani Ilivyobadilisha Mwili na Akili Yake

Princess Kate Afunguka Jinsi Saratani Ilivyobadilisha Mwili na Akili Yake Catherine, Princess wa Wales, amezungumzia athari za kimwili na kihisia...

Afyaclass Eye1 day ago

Mtu akianza kutumia dawa za presha, hawezi kuziacha hata kama presha imeshuka

Dai:Mtu akianza kutumia dawa za presha, hawezi kuziacha hata kama presha imeshuka Je,ni kweli? ukianza tu kutumia dawa za presha...

Story1 day ago

Mwandishi wa habari wa Kike asambaa sana mtandaoni baada ya kuonyesha misuli kwenye mikono

Mwandishi wa habari wa televisheni kutoka Australia asambaa sana mtandaoni baada ya kuonyesha misuli(biceps) kwenye mikono. Mwandishi huyo wa kike...

Afyaclass Eye1 day ago

Kunywa maji ya moto kunayeyusha mafuta tumboni

Dai: Kunywa maji ya moto kunayeyusha mafuta tumboni. Je, kuna ukweli juu ya jambo hili kiafya? Hii ni dhana ambayo...

44
0