Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo huku 40% wakifika Hospitali wakati Ugonjwa ukiwa hatua ngumu na za mwisho kutibika na hauwezi...
Dkt. Chandika awakumbusha Wananchi kulinda Figo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika amewashauri Wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha, ili kulinda...
Matumizi ya mitishamba,hatari kwa afya ya Figo Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Matumizi ya mitishamba kwa njia isiyo ya kisayansi au kiholela yanaweza...