Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo huku 40% wakifika Hospitali wakati Ugonjwa ukiwa hatua ngumu na za mwisho kutibika na hauwezi...
Mtu mwenye Figo Nne agundulika nchini Somalia. Anakuwa mtu wa nne duniani mwenye figo nne ambapo awali kulikuwa na watu watatu pekee wenye figo za ziada...
Matumizi ya mitishamba,hatari kwa afya ya Figo Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Matumizi ya mitishamba kwa njia isiyo ya kisayansi au kiholela yanaweza...