Wataalamu wasema zinachangia kuongeza maumivu, waonya zaweza kusababisha uoni hafifu na upofu. Wataalamu wa afya na madaktari bingwa wa macho wamesema wanapokea idadi kubwa ya wagonjwa...
Fahamu Aina ya dawa za macho pamoja na Matumizi yake Dawa katika sehemu hii ni pamoja na zile ambazo hufanya kazi kwenye macho, na kawaida hutolewa...