SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR)...
Mlipuko mkubwa wa magonjwa kama vile malaria,dengue,kipindupindu huweza kutokea kipindi hiki cha Mvua ,hivo ni muhimu sana kuchukua tahadhari zaidi, Magonjwa ambayo ni Vector-Borne Diseases ni...