#PICHA:Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakiwa katika harakati za uokoaji kufuatia mafuriko. MAMLAKA nchini Kenya zimesema kuwa idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko...
MVUA kubwa kwenye Mikoa 16 Tanzania bara,chukua tahadhari. Mikoa hiyo ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza,...
TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia Jumatano Aprili 24, 2024 saa 9.30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa...
SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR)...
DUBAI; Mvua kubwa ambayo haijawahi kunyesha kwa miaka 75 #DUBAI: Safari za Ndege zimeahirishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya Uwanja huo...
Uwepo wa Mvua Kubwa,TMA yatoa angalizo Tahadhari ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita mbili, imetolewa kwa baadhi ya maeneo...
ZAIDI ya kaya 2,500 katika Kata ya Muhoro, wilayani Rufiji, mkoani Pwani zimeathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Imeelezwa kuwa...
Utabiri wa Hali ya Hewa wa Mwezi,tathmini ya Mwezi Machi na Muelekeo wa Aprili Dondoo za tathmini ya Machi, 2024 na mwelekeo wa Aprili, 2024: Taarifa...
15 wafariki, mvua zatajwa kiini, wamo watoto Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime. JUMLA ya watu 15 wamefariki...
TMA yatoa angalizo la mvua kubwa siku tatu mfululizo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa wakazi wanaoishi ukanda wa Pwani ya Bahari...
Takriban watu 32 wameuawa kutokana na maporomoko ya ardhi Pakistan. Takriban watu 32 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na maporomoko ya ardhi na matukio ya...
Mvua kubwa,mvua za el nino mpaka Aprili: TMA Tanzania TMA imesema kuna viashiria vya El-Nino kuendelea hadi Aprili, 2024. Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa...
Tahadhari ya Mvua kubwa kwa Siku Tano Mfululizo-TMA Kama unaishi mikoa ya Morogoro, Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma, basi kaa mguu sawa kwani...
Ni kipindi cha Mvua kubwa kaa kwa tahadhari, Hivi ni baadhi ya Vidokezo vya kukusaidia katika kipindi hiki; 1️⃣Epuka kuvuka mito iliyojaa maji ili kuzuia kuzama....
Mvua kubwa inatarajiwa katika mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Pwani, TMA yatoa tahadhari. Mamlaka ya Hali ya hewa nchini Tanzania-TMA, imetoa tahadhari juu ya mvua...