Nchi zinazokabiliwa Zaidi na Vifo na milipuko ya ugonjwa wa Malaria kama vile Uganda, zimefaulu angalau kwa kiwango fulani. Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupambana na...
LEO ni Siku ya Malaria Duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka tangu ilipoanzishwa na nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 2007 wakati wa...