WATANZANIA wengi wana uzito uliopitiliza (mabonge) kutokana na kutozingatia ulaji unaofaa huku takwimu zikionyesha ni watu saba pekee nchini katika 100 wanaozingatia mlo kamili. Takwimu Aidha,...
Soma hapa Sababu za watoto kuwa na uzito mkubwa Uzito sahihi wa mtoto wako unaotakiwa ni ule wa namba za umri wake ukazidisha mara mbili ukajumlisha...