Njia za uzazi wa mpango kwa mama anayenyonyesha Baada ya mama kujifungua moja ya vitu ambavyo hukutana navyo mwanzoni ni swala la kupanga Uzazi, ili kuzaa...
Ugonjwa wa trichomoniasis,chanzo,dalili na Tiba yake FAHAMU KUHUSIANA NA TATIZO LA TRIKOMONASI,CHANZO,DALILI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Trichomoniasis ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa, Tatizo hili mtu...
Jinsi ya Kuifanya Nyumba Yako kuwa Salama kwa Mtoto Bafuni: Kamwe usimuache mwanao ndani bafuni au kwenye maji mwenyewe. Kumbuka inachukua dakika chache mtoto kuzama na...
Ugonjwa wa UTI ni nini? na Dalili zake ni Zipi? Na je nani yupo kwenye hatari Zaidi kupata? Ni kweli kwamba kuna Makala Nyingi sana Mtandaoni...
Zaidi ya mwanamke 1 kati ya 3 duniani mara nyingi hukutwa na matatizo ya kiafya pindi wanapojifungua hii inaweza kutokea ndani ya mwezi kulingana na utafiti...
Kutokwa na maji ukeni yasiyo na harufu Kutokwa na Maji ukeni yasiyo na harufu sio tatizo hii huweza kuwa njia mojawapo ya asili ambapo Uke hujisafisha...
Ujue Ute wa Ukeni rangi zake pamoja na Maana Zake Ute wa ukeni ni majimaji yanayotengenezwa na tezi ndogo ndani ya uke na shingo ya kizazi....
Ugonjwa wa Kipindupindu husababishwa na nini? dalili,Madhara na Matibabu yake Ugonjwa wa kipindupindu(Cholera) ni ugonjwa unaosababisha watu kuharisha, na ugonjwa huu huweza kusababisha kifo ndani ya...
kunywa dawa na maziwa Dawa ambazo haziruhusiwi kuchanganya na maziwa Fahamu kwamba; Maziwa yanaweza kuingiliana na jinsi madini chuma yanavyofyonzwa tumboni, na kalsiamu inayopatikana katika bidhaa...
Nini cha kufanya baada ya kutokwa na uchafu kama maziwa mtindi. 1. Kama ni tatizo linalo jirejea mara kwa mara unatakiwa kuonana na daktari wako kwa...
Dawa ambazo haziruhusiwi kuchanganya na maziwa Fahamu kwamba; Maziwa yanaweza kuingiliana na jinsi madini chuma yanavyofyonzwa tumboni, na kalsiamu inayopatikana katika bidhaa za maziwa inaweza kuzuia...
kusinzia baada ya kula,chanzo na jinsi ya kuzuia hali hii Hali ya kusinzia baada ya kula chakula kwa kitaalam hujulikana kama “Postprandial somnolence” kusinzia baada ya...
Uchunguzi wa MTOTO mara tu baada ya kuzaliwa. FAHAMU KUHUSU MAMBO MUHIMU AMBAYO MTOTO HUCHUNGUZWA MARA TU BAADA YA KUZALIWA Kwa kawaida mtoto anapozaliwa tu anatakiwa...
Maumivu upande wa kushoto Tatizo la Maumivu upande wa kushoto ni tatizo ambalo huwapata watu wengi, baadhi yao wanajua chanzo chake na wengine hawafahamu kwani ni...
kuongezeka uzito kipindi cha ujauzito Wanawake wengi wakiwa wajawazito lazima waongezeke uzito kati ya kilograms 11.5 mpaka 16 kilograms), Wengi wao watapata ongezeko la kilogram 1...
Kuota vipele kwenye mashavu ya uke vipele kwenye mashavu ya uke huweza kusababishwa na sababu nyingi mbali mbali ikiwemo matatizo ya ngozi,maambukizi ya magonjwa n.k, Na...
Jinsi Ya Kukabiliana Na Tatizo La Kuvurugika Mzunguko Wa Hedhi TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au...
Dawa ya gono kwa mwanaume Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa ambao husababishwa na Bacteria ambaye kwa kitaalam hujulikana kama...
Sababu za mtoto kuchelewa kuota meno Watoto wanapozaliwa, tayari wanakuwa na meno ambayo yamefunikiwa kwa fizi. Meno huanza kutoka kwa mara ya kwanza mtoto akiwa na...
Sababu ya mashavu ya uke kuwasha Baadhi ya Wanawake hupatwa na tatizo la mashavu ya uke kuwasha lakini hawajui shida hii imetokana na nini? Katika Makala...
Kujifungua kawaida baada ya kujifungua kwa Upasuaji Ikiwa unajiuliza kama kujifungua kwa njia ya kawaida inawezekana baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji ujauzito uliopita, jibu...
Je, unajua kucha zako zinaweza kuonyesha hali ya afya yako kwa ujumla? gafla kucha kukakamaa, kuvunjika au kupasuka kwa urahisi,kubadilika rangi n.k Hali ya kucha zako...
Ugonjwa wa uti wa mgongo Utangulizi kuhusu Ugonjwa wa uti wa mgongo, Soma Hapa; Fahamu,Ugonjwa wa uti wa mgongo hutokea iwapo utando unaofunika ubongo na uti...
Tatizo la Mtoto Kutanguliza Makalio wakati wa kuzaliwa (Breech Presentation) Breech presentation: ni ile hali ya Mtoto kuzaliwa akiwa ametanguliza Matako au makalio, Ipo milalo mbali...
Faida za limao katika mwili,Soma hapa kujua Limao, lenye jina la kisayansi Citrus limon, ni tunda lenye faida nyingi kiafya. Kutokana na virutubisho vyake, limao linaweza...
Saratani ya Mapafu: Chanzo, Dalili, na Mbinu za Tiba Saratani ya Mapafu ni ugonjwa ambao huhusisha ukuaji wa seli usiowakawaida(abnormal/uncontrolled cell growth) kwenye eneo la Mapafu....
Faida za Maji ya Limao yaliyochemshwa Maji ya limao yaliyochemshwa hutajwa mara nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali. Watu wengine wanadai kuwa inaweza kupunguza uzito,...
Dalili 10 za saratani ambazo hazitambuliwi kirahisi Fahamu; Watu wengi, wanaposikia neno Kansa au saratani, huhusisha na ugonjwa hatari Zaidi na wenye matokeo mabaya ikiwemo kusababisha...
Dalili za Ugonjwa unaojulikana kama PCOS(Polycystic Ovarian Syndrome) Kirefu cha neno PCOS ni Polycystic Ovarian Syndrome. Syndrome maana yake ni tatizo lenye mkusanyiko wa dalili zaidi ya moja. Hivyo...
Madhara ya kumkalisha mtoto mapema Mtoto kuanza kukalishwa mapema au kukaa mapema kabla ya wakati wake huweza kusababisha madhara mengi kiafya hasa kwenye mkao wa mwili...