Connect with us

Magonjwa

Matumizi ya Pombe Wakati wa ujauzito unajiweka kwenye hatari ya kupata

Avatar photo

Published

on

Matumizi ya Pombe Wakati wa ujauzito unajiweka kwenye hatari ya kupata matatizo mbali mbali ikiwemo;

– Kuzaa mtoto ambaye amefariki yaani stillbirth

– Kuzaa mtoto kabla ya wakati au kuzaa mtoto njiti yaani Premature birth

– Ujauzito Kutoka wenyewe yaani spontaneous abortion/miscarriage

– Udumavu wa kiumbe tumboni(fetus poor growth)

– Kuzaa mtoto mwenye tatizo la uzito mdogo sana(low birth weight) n.k

MADHARA YA POMBE KWA MJAMZITO,

Watu wengi hawajui kwamba ukiwa Mjamzito kuna vitu vingi hutakiwi kuvifanya kwa ajili ya mtoto aliye tumboni pamoja na afya yako pia.
Vitu hivi vinahusisha Mtindo wa maisha wa mama Mjamzito,ikiwemo kutokuvaa nguo zinazobana,Viatu virefu,
Kutokutumia Dawa hovyio kwani baadhi ya dawa zina madhara makubwa Kwa Mjamzito, na Kuacha Vilevi vyote ikiwemo POMBE na SIGARA kwani vyote hivi madhara yake kwa Mjamzito ni makubwa.
Leo tutaangalia Baadhi Ya Madhara Ya Pombe kwa Mjamzito

MADHARA YA POMBE KWA MJAMZITO

Kuna madhara makubwa sana ya Utumiaji wa Pombe wakati wa Ujauzito,na Madhara hayo ni Pamoja na Haya yafuatayo;
~ Mimba kuharibika, Mtumiaji wa Pombe wakati wa Ujauzito ana hatari kubwa ya Kupata tatizo la Mimba kuharibika kabla hata hajajifungua, na hii huchangiwa kwa kiasi kikubwa na machemical yaliyopo kwenye pombe au hata hatari za kudondoka wakati ukiwa umelewa
~ Kuzaa mtoto mwenye Uzito mdogo sana ambapo kitaalam Huitwa Low Birth weight (LBW), Asilimia kubwa ya wakina mama ambao hunywa pombe kipindi cha Ujauzito huzaa watoto wenye uzito mdogo sana, na mara nyingi watoto hawa wanakuwa wadhaifu kupita kiasi.
~ Fahamu pia pombe huadhiri ubongo kwa kiasi kikubwa hasa katika Maswala ya kumbumbuku,Hivo pia mama anayetumia pombe wakati wa Ujauzito huweza kuleta athari katika ubongo wake pamoja na Ubongo wa mtoto pia,na kumfanya mtoto aliyezaliwa kutokuwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu,Hivo kuwa tatizo kubwa katika maisha yake hata katika Swala la Elimu pia.
~ Maumivu makali ya Tumbo huweza kutokea pia kwa Mama Mjamzito anayetumia pombe katika kipind hicho
~ Kuwa katika hatari ya mama kupata Uzito kupita kiasi au Obesity,hali ambayo ni hatari kuleta magonjwa kama kisukari wakati wa Ujauzito,presha wakati wa Ujauzito(PREGNANCY INDUCED HYPERTENSION n.k

KUMBUKA YAFUATAYO KAMA WEWE NI MJAMZITO

âś“ Acha kutumia kilevi chochote kama POMBE na SIGARA kwa ajili ya afya yako na afya ya mtoto aliyetumboni
âś“ Acha kuvaa nguo zinazobana,Mikanda,au Viatu virefu wakati wa Ujauzito
âś“ Epuka matumizi ya dawa hovio bila maelekezo ya wataalam wa afya kwani dawa zingine zina madhara makubwa kwa Ujauzito wako na kiumbe ulichobeba tumboni
âś“ Lishe bora izingatiwe wakati wa Ujauzito
âś“ Usafi wa mwili wako ni muhim sana
âś“ Hudhuria Kliniki zote kipindi cha Ujauzito
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KUPITIA NAMBA +255758286584

Ushauri|Tiba|CheckIn 🩺🌡️ContactUs; +255758286584 or INBOX📩. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa2 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...