Connect with us

Magonjwa

kisukari aina ya pili,chanzo,dalili na Matibabu yake

Avatar photo

Published

on

kisukari aina ya pili,chanzo,dalili na Matibabu yake

Fahamu kuhusu kisukari aina ya pili,chanzo,dalili na Matibabu yake,Kupitia kwenye Makala hii hapa.

kisukari aina ya pili

kisukari aina ya pili(Type 2 diabetes) hutokea pale ambapo kuna shida kwenye jinsi mwili wako unavyorekebisha kiwango cha Sukari na kukitumia, ambapo matokeo yake ni uwepo wa kiwango kikubwa cha Sukari kwenye damu.

Dalili za kisukari aina ya pili

Dalili za kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) mara nyingi hutokea taratibu, na unaweza kuishi na kisukari aina ya pili kwa miaka kadhaa bila hata kujua,

Ingawa pale ambapo dalili za kisukari aina ya pili zinapojitokeza,Moja ya dalili hizo ni pamoja na;

– Kiu kuongezeka Sana

– Kukojoa mara kwa mara

– Kuhisi njaa kila wakati

– Uzito kupungua kwa kasi sana

– Mwili kuchoka kupita kiasi

– Pale unapopata vidonda,Vidonda huchukua muda mrefu kupona au kwa Lugha nyingine vidonda hupona taratibu sana

– Kuona marue rue au kupata shida ya kuona

– Kupata maambukizi ya magonjwa mara kwa mara

– Kuhisi hali ya kuchoma, kuungua au GANZI kwenye mikono au miguu

– Kuwa na Eneo la ngozi lenye weusi zaidi,na mara nyingi hutokea kwapani na shingoni. N.k

Hizo ndyo baadhi ya Dalili za kisukari aina ya pili.

Chanzo cha kisukari aina ya pili

kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) husababishwa na Sababu kuu Mbili,

  • Kongosho( pancrease) kushindwa kuzalisha Kiwango cha kutosha cha insulin
  • Seli za mwili kutoa matokeo hasi(respond poorly) dhidi ya insulin, pamoja na kutumia kiwango kidogo cha Sukari.

Vyote hivi Matokeo yake ni kuongezeka au kuwa na kiwango kikubwa zaidi cha Sukari Kwenye Damu.

Vitu ambavyo huongeza hatari ya mtu kupata kisukari aina ya pili

Vitu hivi hapa huweza kuongeza hatari ya kupata kisukari aina ya pili;

1. kuwa na tatizo la Uzito mkubwa au unene(overweight/obesity)

2. Kuwa na mafuta mengi mwilini(Fat distribution), hasa pale ambapo kiwango kikubwa cha mafuta kimehifadhiwa tumboni au kwenye eneo la abdomen badala ya kwenye hips pamoja na mapajani,

Hii huongeza hatari Zaidi ya kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes).

3. Kutokufanya mazoezi,

Unashauriwa kufanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku ili kupunguza hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ikiwemo kisukari aina ya pili(type 2 diabetes)

4. Kukaa kwa muda mrefu Zaidi,

Kama kazi zako ni za kukaa kwa muda mrefu Zaidi,unashauriwa kila baada ya nusu saa ufanye angalau body movement kwa dakika kadhaa.

5. Family history, upo kwenye hatari ya kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) kama una Ndugu au wazazi wenye tatizo hili ndani ya familia yako

6. Umri, kadri umri unavyokuwa mkubwa zaidi ndivyo hatari ya kupata kisukari aina ya pili huongezeka zaidi,

hasa kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka 35 na kuendelea

7. Matatizo wakati wa Ujauzito, hatari ya kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) huongezeka kwa wanawake ambao wana historia ya kupata Kisukari wakati wa ujauzito yaani “gestational diabetes”.

8. Kuwa na tatizo la Polycystic ovary syndrome(PCOS).

Tatizo hili huweza kusababisha;

  • mwanamke kupata hedhi bila mpangilio-irregular menstrual periods,
  • nywele kukua au kuongezeka kupita kiasi mwilini
  • Tatizo la obesity — ambalo huongeza hatari ya kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes).

Matibabu ya kisukari aina ya pili

Hakuna tiba ya moja kwa moja ya kutibu kabsa kisukari aina ya pili(There’s no cure for type 2 diabetes),

Ila unaweza kudhibiti kiwango cha Sukari kwa kufanya haya;

âś“ Kupunguza Uzito kama una shida ya Uzito mkubwa

âś“ Kula vizuri vyakula bora na salama kwa afya

âś“ Kuepuka matumizi ya pombe kupita kiasi pamoja na Uvutaji wa Sigara ikiwemo tumbaku

âś“ kufanya mazoezi ya mwili

âś“ Kama hata baada ya kufanya na kuzingatia hivo,bado kiwango cha sukari kwenye damu hakishuki,

Dhibiti Sukari kwa kutumia dawa au matibabu ya Sukari kama vile

  • Kutumia dawa za Sukari(diabetes medications
  • Au kupata insulin therapy

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) husababishwa na nini?

kisukari aina ya pili(type 2 diabetes) husababishwa na Sababu kuu Mbili,

  • Kongosho( pancreas) kushindwa kuzalisha Kiwango cha kutosha cha insulin
  • Seli za mwili kutoa matokeo hasi(respond poorly) dhidi ya insulin, pamoja na kutumia kiwango kidogo cha Sukari.

Vyote hivi Matokeo yake ni kuongezeka au kuwa na kiwango kikubwa zaidi cha Sukari Kwenye Damu.

Hitimisho

Zipo dali mbali mbali za kisukari aina ya pili(type 2 diabetes),  na dalili hizo ni pamoja na;

– Kiu kuongezeka Sana

– Kukojoa mara kwa mara

– Kuhisi njaa kila wakati

– Uzito kupungua kwa kasi sana

– Mwili kuchoka kupita kiasi

– Pale unapopata vidonda,Vidonda huchukua muda mrefu kupona au kwa Lugha nyingine vidonda hupona taratibu sana

– Kuona marue rue au kupata shida ya kuona

– Kupata maambukizi ya magonjwa mara kwa mara

– Kuhisi hali ya kuchoma, kuungua au GANZI kwenye mikono au miguu

– Kuwa na Eneo la ngozi lenye weusi zaidi,na mara nyingi hutokea kwapani na shingoni. N.k

Ukiona dalili kama hizo hakikisha unapata msaada zaidi,hivo nenda hosptal kwa ajili ya kufanya Vipimo.

Hata hivo,Zipo njia mbali mbali za kupunguza hatari ya mtu kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes),  Na njia hizo ni pamoja na; Kufanya mazoezi ya mwili kila siku,kula vyakula bora kwa afya,kupunguza uzito wa mwili,Kuepuka matumizi ya Pombe kupita kiasi,Kuepuka Uvutaji wa Sigara n.k

Kwa kufanya hivo unaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa hatari ya kupata kisukari aina ya pili(type 2 diabetes).

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Ushauri|Tiba|CheckIn 🩺🌡️ContactUs; +255758286584 or INBOX📩. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa2 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...