Connect with us

Magonjwa

Magonjwa ya moyo na dalili zake,Fahamu hapa

Avatar photo

Published

on

Magonjwa ya moyo na dalili zake,Fahamu hapa

Katika Makala hii tumechambua baadhi ya Magonjwa ya moyo ambayo huwapata watu Mara kwa mara,Soma Zaidi hapa.

Hii hapa ni Orodha ya baadhi ya Magonjwa ya moyo ambayo hutokea mara kwa mara(Common heart diseases)

1. Coronary Artery Disease (CAD),

Ugonjwa huu ni miongoni mwa Magonjwa ya moyo ambayo hutokea mara nyingi kwa watu,

Mtu mwenye ugonjwa wa Coronary Artery disease huweza kupata shida ya kuziba kwa baadhi ya mishipa ya damu inayopelekea damu kwenye Moyo,mishipa hyo inajulikana kama coronary arteries,

Matokeo yake ni mtu kuwa na ukosefu wa hewa ya kutosha ya Oxygen.

Coronary heart disease inaweza kusababisha mtu kupata maumivu ya kifua au shambulio la moyo.

Kundi hili Lipo kwenye hatari zaidi ya kupata Magonjwa ya moyo hasa Ugonjwa huu wa Coronary heart disease

• Watu wenye umri mkubwa,mfano zaidi ya miaka 55

• Watu ambao hawafanyi mazoezi kabsa

• Watu wenye Ugonjwa wa Kisukari

• Kuwa na Family history ya Magonjwa ya moyo ikiwemo ugonjwa huu wa coronary heart disease kwenye familia yako

• Watu wenye tatizo la Presha ya kupanda(High blood pressure)

• Watu wenye tatizo la kiwango kikubwa cha mafuta au cholestrol mwilini(High levels of LDL “bad” cholesterol)

• Watu wenye Uzito mkubwa au wanene(Overweight/Obesity)

• Watu wanaovuta Sigara n.k

2.Tatizo la Heart Arrhythmias

Heart arrhythmias ni miongoni mwa Magonjwa ya moyo ambayo husababisha mapigo ya moyo kutokueleweka yaani irregular heart beating pattern.

3. Ugonjwa wa moyo kushindwa kufanya kazi(Heart Failure)

Mtu mwenye tatizo la Heart failure,moyo wake hushindwa kufanya kazi ikiwemo kazi ya kusukuma damu mwilini.

4. Heart Valve Disease

Ifahamike kwamba,Moyo wa binadamu una valves nne(4), ambazo hufunguka na kufunguka ili kuongoza damu kutiririka kwenye maeneo mbali mbali ikiwemo;

  • katikati ya chemba nne(4) za moyo,
  • kwenye mapafu
  • pamoja na kwenye mishipa ya damu

Tatizo lolote likitokea kwenye Valves hizi huweza kusababisha damu kushindwa kutiririka kama inavyotakiwa, damu kuzuiwa au damu kuvuja kwenye maeneo ambayo sio sahihi

Haya hapa ni baadhi Magonjwa ya moyo ambayo huathiri valves za moyo(heart valves diseases)

  • Tatizo la Endocarditis.
  • Rheumaticheart disease.
  • Pericardial Disease n.k

5. Ugonjwa unaohusisha misuli ya moyo-Cardiomyopathy (Heart Muscle Disease),

Cardiomyopathy ni miongoni mwa Magonjwa ya moyo ambayo huathiri misuli ya moyo au myocardium.

6.Congenital Heart Disease

Hapa huhusisha Magonjwa ya moyo ambayo hutokea toka uumbaji wa viungo mbali mbali vya mtoto akiwa tumboni

mfano ni Magonjwa ya moyo kama vile;

  • Septal abnormalities
  • pulmonary stenosis. n.k

7. Orodha nyingine ya Magonjwa ya moyo Ni pamoja na;

âś“ tatizo la chembe ya moyo(Angina pectoris)

âś“ Shambulio la moyo(Heart attack) n.k

Hitimisho

Yapo Magonjwa mbali mbali ya moyo, na hii hapa ni orodha ya baadhi ya Magonjwa ya moyo; Ugonjwa wa shambulio la moyo(heart attack), Moyo kushindwa kufanya kazi(heart failure),Tatizo la coronary artery disease, Heart valve diseases,Heart arrhythmia n.k

Moja ya dalili za magonjwa ya moyo ni pamoja na; Kupata maumivu ya kifua,kushindwa kupumua au kukosa pumzi, kupata kizunguzungu,mapigo ya moyo kwenda mbio n.k.

Ukiona dalili kama hizi hakikisha unaenda kufanya vipimo hospital

AU KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Ushauri|Tiba|CheckIn 🩺🌡️ContactUs; +255758286584 or INBOX📩. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...