Connect with us

Magonjwa

CHANZO CHA MAWE KWENYE FIGO PAMOJA NA DALILI ZAKE

Avatar photo

Published

on

UGONJWA WA MAWE KWENYE FIGO AU KIDNEY STONES(chanzo,dalili na Tiba)

Tatizo hili la mawe kwenye figo lina majina mengi kitaalam kama vile; kidney stones, Renal Calculi, Urolithiasis, Nephrolithiasis n.k je chanzo cha tatizo hili ni nini?

CHANZO CHA TATIZO HILI LA MAWE KWENYE FIGO

– tatizo hili huchangiwa na sababu nyingi mbali mbali kama vile;

• Mkojo kuwa na kiwango kikubwa cha Calcium, Oxalate na Uric acid kuliko kiwango cha maji kwenye Mkojo.

• Au mkojo kukosa vitu ambavyo vinazuia baadhi ya particles zilizopo kwenye mkojo kuungana kwa pamoja

Sababu zote hizi mbili husababisha madini pamoja na chumvi kuungana na kutengeneza vitu vigumu sana ndani ya Figo na ndipo tatizo hili hutokea(KIDNEY STONES)

BAADHI YA SABABU AMBAZO HUONGEZA UWEZEKANO WA KUTOKEA KWA TATIZO HILI

– Mtu kutokunywa maji ya kutosha kila siku

– Kuwa na mtu mwenye shida hii kwenye Familia

– Kula sana Baadhi ya vyakula ambavyo vina kiwango kikubwa sana cha Proteins, Sodium au chumvi pamoja na Sukari

– Tatizo la unene kupita kawaida au Uzito mkubwa(Overweight/Obesity)

– Magonjwa ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

– Mtu kufanyiwa upasuaji unaohusu figo au mfumo mzima wa chakula

– Matatizo mengine kama vile; Cystinuria, Hyperparathyroidism, uti inayojirudia mara kwa mara

– Matumizi ya Baadhi ya dawa  kwa muda mrefu kama vile; LAXATIVES n.k

DALILI ZA UGONJWA WA MAWE KWENYE FIGO NI PAMOJA NA;

âś“ Kupata maumivu makali nyuma ya mbavu kwa ndani

âś“ Kupata maumivu makali chini ya kitovu kuelekea kwenye via vya uzazi

âś“ Kupata maumivu wakati wa kukojoa

âś“ Kuhisi hali ya kuungua wakati wa kukojoa

âś“ Kukojoa mkojo wenye rangi ya Pink, Brown au nyekundu

âś“ kukojoa mara kwa mara

âś“ kukojoa mkojo uliochanganyika na damu

âś“ Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

âś“ Kupata kichefuchefu na kutapika

âś“ Kukojoa mkojo wenye harufu kali

âś“ Mkojo kutoka kwa shida sana

N.k

MATIBABU YA TATIZO HILI

• Mara nyingi tatizo hili hupona baada ya mtu kunywa maji ya kutosha mfano lita 2.5 mpaka 3 kila siku endapo halijafikia hatua mbaya

• Lakini pia kuna dawa mbali mbali mgonjwa huweza kutumia kama vile;

Dawa za maumivu mfano Ibuprofen,

Dawa za kupitisha mawe yaliyobakia kwenye figo kama vile; Dawa jamii ya Alpha Blocker mfano FLOMAX(TAMSULOSIN) ambayo hufanya kazi ya kutanua njia ya mkojo na kusaidia mawe kupita kwa urahisi.

Huduma ya Kupasua Mawe kwa kutumia Teknolojia Maalumu ambayo tayari kwenye nchi yetu imeshafika n.k

Ushauri|Tiba|CheckIn 🩺🌡️ContactUs; +255758286584 or INBOX📩. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...