Connect with us

Magonjwa

DAMU KUWA NYINGI MWILINI,CHANZO,DALILI NA TIBA

Avatar photo

Published

on

DAMU KUWA NYINGI MWILINI,CHANZO,DALILI NA TIBA

Tatizo la damu kuwa nyingi mwilini au damu kuzidi hujulikana kama Polycythemia, hapa huhusisha kuongezeka kwa idadi ya seli nyekundu za damu yaani red blood cells(RBC’s) mwilini.

Seli hizi zikizidi husababisha Damu kuwa nzito hali ambayo huweza kupelekea matatizo mengine kama vile damu kutengeneza Clots n.k

AU, Damu kuwa nyingi huhusisha kiwango cha haemoglobin kuwa kikubwa kuliko kawaida, mfano;

Kwa mtu mzima Mwanaume akiwa na kiwango cha zaidi ya haemoglobin 16.5g/dL na Mtu mzima mwanamke akiwa na kiwango cha zaidi ya haemoglobin 16g/dL basi wanaweza kuwa kwenye kundi la watu wenye damu nyingi mwilini.

CHANZO CHA DAMU KUWA NYINGI MWILINI

Kuna sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia tatizo hili la damu kuzidi mwilini na matibabu yake hutegemea sababu hizi.

Sababu hizi zipo kwenye makundi makubwa mawili yaani Primary polycythemia na Secondary polycythemia

1. Primary polycythemia au kwa jina lingine hujulikana kama polycythemia vera (PV).

– Aina hii ni mara chache sana kutokea, na hii huhusisha kansa ya damu ambayo huanza taratibu sana, na kitaalam hujulikana kama myeloproliferative neoplasm.

Kansa hii(polycythemia vera), husababisha bone marrow kutengeneza blood cells nyingi zaidi ambazo hufanya kazi isivyokawaida, hali ambayo huchangia kuzalishwa kwa wingi sana kwa seli nyekundu za damu yaani Red blood cells-RBC’s.

Lakini pia mtu mwenye kansa hii(polycythemia vera) huweza kupata ongezeko la Seli nyingine za damu kama vile white blood cells au platelets.

2. Secondary polycythemia,

Hii ni aina ya ongezeko la damu mwilini ambayo huchangiwa na sababu zingine mbali na kansa(polycythemia vera) au myeloproliferative disease.

Na kwenye kundi hili, ndyo kuna idadi kubwa ya watu hupata shida ya damu kuwa nyingi mwilini.

SABABU HIZO AMBAZO HUWEZA KUCHANGIA DAMU KUWA NYINGI MWILINI NI PAMOJA NA;

– Kubadilisha mazingira na kwenda sehemu zenye mwinuko zaidi(very high altitude),

Mfano; nimetoka Dodoma nikaenda kukaa Mbeya,

– Kuwa na tatizo la obstructive sleep apnea

– Kuwa na aina mbali mbali za tumor

– Kuwa na magonjwa ya moyo au mapafu ambayo husababisha upungufu wa Oxygen mwilini.

– Mtindo wa maisha ikiwemo vyakula tunavyokula

– Matumizi ya dawa za kuongeza Damu mwilini N.k

DALILI ZA DAMU KUWA NYINGI MWILINI NI PAMOJA NA;

• Mtu kuanza kupata kizunguzungu

• Kupata maumivu makali ya kichwa

• Mwili Kutoa jasho sana kupita kawaida

• Kuanza kupata miwasho kwenye ngozi(itchy skin)

• Kusikia sauti masikioni ambazo hujulikana kama ringing

• Mtu kuanza kuona marue rue(blurred vision)

• Kupata uchovu wa mwili kupita kawaida

• Ngozi ya kwenye viganja vya mikono,puani,n.k kuwa nyekundu zaidi

• Kuumia kidogo kuvuja damu nyingi

• Kuhisi hali ya kuchomwa chomwa chini ya miguu

• Kuvuja damu puani mara kwa mara(Nose bleeding)

• Kuvuja damu kwenye Fizi mara kwa mara(Gum bleeding) N.K

VIPIMO AMBAVYO HUWEZA KUFANYIKA ILI KUJUA WINGI WA DAMU PAMOJA NA CHANZO CHAKE

– Blood tests

– Bone marrow biopsy

– Genetic tests N.k

MATIBABU YA TATIZO HILI LA DAMU KUWA NYINGI MWILINI

kama nilivyokwisha kusema,Matibabu yake hutegemea na chanzo chake, lakini kwa ujumla zipo njia mbali mbali ambazo huweza kutumika kama vile;

• Kubadilisha mtindo wa maisha ikiwemo vyakula unavyokula

• Epuka uvutaji wa Sigara

• Epuka kukaa sehemu ambazo kuna kiwango kikubwa cha hewa ya carbonidioxide kama vile viwandani,kwenye machimbo n.k

• Epuka kukaa maeneo ambayo ni high altitude

• Pata matibabu ya magonjwa kama vile; magonjwa ya moyo,mapafu n.k

• Dawa za kudhibiti utengenezwaji wa Blood cells kama zile za kuzuia Bone marrow mfano hydroxyurea (Hydrea) n.k

• Dawa za kudhibiti dalili zote zitokanazo na damu kuzidi mwilini, kama vile Asprin ambazo huweza kusaidia kuzuia blood clots n.k

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa5 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu

Dalili za infection kwenye damu Mchafuko wa damu,chanzo,dalili na Tiba Mchafuko wa damu; hiki ni kiswahili ambacho watu wamezoea kukitumia...

Magonjwa4 days ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa1 week ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa4 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa4 weeks ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa1 month ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Magonjwa1 month ago

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake Karibu! Hapa kwa makala yenye taarifa muhimu kuhusu...

Trending