Connect with us

News

Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI

Avatar photo

Published

on

Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI

Mkoa wa Kivu Kaskazini kwa sasa unakabiliwa na mlipuko mbaya wa ugonjwa wa Monkeypox, ugonjwa wa virusi vya kuambukiza na unaoweza kuwa hatari kwa afya ya umma.

Waziri wa Masuala ya Kijamii wa Kivu Kaskazini, Prisca Luanda Kamala, amesema katika taarifa yake kuwa.

“Wananchi wapendwa wa Kivu Kaskazini, serikali ya mkoa wa Kivu Kaskazini inawatangazia kuwa kuna kisa cha ugonjwa wa Monkeypox au ndui ya nyani ambacho kimethibitishwa katika eneo la afya la Karisimbi mjini Goma. Hadi sasa, visa vinane vimeripotiwa. Ugonjwa huu ni hatari sana na unaambukiza sana. Uwepo wa visa hivi katika mji wa Goma na maeneo jirani ni tishio kubwa na hatari kubwa ya maambukizi kwa wakazi wote wa mji wa Goma.

Ugonjwa wa Homa ya nyani au Monkeypox unasababishwa na virusi vya aina ile ile ya ndui na unaenea hasa kwa njia ya mawasiliano ya moja kwa moja na wanyama walioambukizwa, hususan panya, pamoja na maambukizi kutoka kwa binadamu kwenda kwa binadamu.

Dalili ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, ikifuatiwa na kutokea kwa vipele vya ngozi ambavyo vinaweza kuenea mwili mzima.

#SOMA Zaidi Hapa Kuhusu ugonjwa wa Monkeypox,

Wakazi wa mji wa Goma wako katika hali ya kukata tamaa na hofu,Wanaogopa kuenea haraka kwa ugonjwa huu, ambao unaweza kusababisha vifo vya watu wengi, hasa kwa kuwa mji wa Goma tayari umejaa mara tatu na wakazi waliohamishwa. Sikiliza hapa maoni ya baadhi ya wakazi wa Goma:

“Nina wasiwasi sana. Goma ni mji ambao tayari umejaa, hili ni tatizo kubwa sana. Kama leo tunayo Monkeypox, hatari ya maambukizi ni kubwa sana.”

 “Kwa kweli ugonjwa huu unanitia hofu. Hatujui jinsi ya kujilinda. Najiuliza nini kitatokea kwa wananchi wenzetu walio katika kambi za wakimbizi. Ugonjwa huu unatupa hofu kubwa.”

Daktari Arnaud Masirikia Muhigirwa anasema kuwa wakazi wa mji wa Goma wanapaswa kutulia na kufuata hatua za usafi pamoja na kuvaa barakoa, kwa sababu kuenea kwa ndui ya nyani ni mchanganyiko kati ya ugonjwa wa virusi vya Ebola na Covid-19.

“Kile ambacho wakazi wanapaswa kufanya ili kujilinda dhidi ya ugonjwa huu ni kuepuka mawasiliano ya moja kwa moja na kufuata sheria za usafi. Pia kuna chanjo ambayo itakuja baadae. Kwa hiyo, ni muhimu kwa wakazi kubaki watulivu.”

Aidha, mamlaka za afya za Kivu Kaskazini zinafanya kazi ya kutambua na kutenga haraka visa vinavyoshukiwa, kufuatilia mawasiliano ya karibu ya wagonjwa waliothibitishwa, na kuweka mpango wa chanjo ili kupunguza kuenea kwa ugonjwa huu.

Jamhuri ya Kongo yaripoti visa kadhaa vya homa ya nyani, mpox

Ugonjwa huu ulioanza kugunduliwa nchini Denmark mwaka 1958, tayari umesababisha vifo karibu 300 tangu mwanzo wa mwaka huu, nchini DRC.

Source:DW

Karibu AfyaUpdates Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In https://afyaclass.com  Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa4 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa5 days ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa3 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa4 weeks ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa4 weeks ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Magonjwa1 month ago

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake Karibu! Hapa kwa makala yenye taarifa muhimu kuhusu...

Magonjwa1 month ago

Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga

“Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga” Kifo cha ghafla ni janga lisilotarajiwa ambalo linaweza kumpata...

Trending