Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu tatizo hili, na kama una shida...
Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula nyama mbichi, lakini je hii ni...
Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je unaelewa maana yake? Nini maana ya...
Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2 Diabetes) toka mwaka 1984. Aliandika hivi...
Clarithromycin inatibu nini Clarithromycin ni dawa inayotumika kutibu aina nyingi za maambukizi yanayotokana na bacteria(bacterial infections). Dawa hii pia huweza kutumika pamoja na dawa zingine za...
Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa Schistosoma. Konokono wanapoambukizwa na minyoo hawa,...
Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,? Ugonjwa wa Pink eye ni ugonjwa...
Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi wa @afyaclass, Leo tumeamua kuichambua dawa...
Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo sababu mbali mbali zinazosababisha tatizo hili...
Glaucoma: Ugonjwa hatari unaopoteza nuru ya macho Kuna magonjwa mengi yanayohusiana na macho, mengi yanatibika lakini kuna baadhi ya magonjwa ni vigumu kutibika. Glaucoma ni ugonjwa...
Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza chanzo chake ni nini? Maumivu chini...
Kuvu nyeusi ni nini?, Na je zina athari kwetu? Kuvu (mold), pia inajulikana kama scum, ni uyoga ambao hukua katika maeneo yenye unyevu. Vijidudu vya kuvu...
Oedema ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu tatizo hili Oedema au “Edema ni mrundikano wa maji mwilini ambayo husababisha tishu zilizoathirika kuvimba. Uvimbe huo unaweza kutokea katika sehemu...
Madhara ya kupiga X ray X-rays ni aina ya mionzi ambayo ina uwezo wa kutengeneza Picha za Tishu pamoja na miundo mbali mbali ndani ya mwili....
Kunguni husababisha ugonjwa gani Kunguni ni wadudu wadogo ambao chakula chao kikubwa ni damu, wadudu hawa huweza kunyonya damu kutoka kwa binadamu au wanyama mbalimbali Kunguni...
Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana. Huu ni ugonjwa wa Zinaa.#Soma hapa...
Saratani ya tezi dume janga kwa dunia hadi 2040. Ongezeko linaloweza kuepukika la saratani ya tezi dume linakuja, na kuongezeka maradufu kwa wagonjwa ulimwenguni kote hadi...
WHO yaitangaza Cape Verde kutokomeza Malaria Shirika la afya ulimwenguni WHO, limeitangaza Cape Verde kuwa nchi ya tatu barani Afrika kutokomeza ugonjwa wa Malaria, wakati ambapo...
Jinsi chumvi inavyoathiri mwili na kusababisha magonjwa Watu wamekuwa wakitumia chumvi tangu mwanzo wa ustaarabu wa kusindika, kuhifadhi na kuboresha chakula. Katika Roma ya kale, chumvi...
Fahamu Matumizi ya Hemovit Syrup Hemovit Syrup; Hii ni dawa ya kuongeza damu ambayo hutumiwa sana na Wakina mama wajawazito wenye tatizo la Upungufu wa damu,...
Dalili za Ukimwi ukeni,Soma hapa kufahamu Zipo dalili mbali mbali ambazo huweza kujitokeza kwa mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(VVU), lakini leo tunazungumzia baadhi ya...
Njia za kukusaidia Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu Unaweza Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu kwa kuzingatia yafuatayo; • Punguza Matumizi ya chumvi nyingi kwenye...
je ugonjwa wa pumu unaambukiza? Hili ni Swali ambalo watu wengi huuliza,hata kwenye page za afyaclass, kwa kuliona hilo, tumeona kuna haja ya kukusaidia kujua kuhusu...
Watu wenye ugonjwa wa moyo wanapaswa kupunguza ulaji wa sodiamu. Taasisi ya Moyo ya nchini Marekani “The American Heart Association (AHA)” inapendekeza watu wazima ambao hawana...
Fibroids ni ugonjwa gani Fibroids, ambapo pia huitwa myoma, ni uvimbe usio wa saratani (benign) unaokua katika au kwenye kuta za kizazi (uterus) cha mwanamke, Hivo...
Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa mama Mjamzito Kama wewe ni mwanamke unayeishi na virusi vya UKIMWI (VVU) haupaswi kukata tamaa juu ya wazo lako la kuwa...
Dalili za mwanzo za ugonjwa wa ini Ugonjwa wa ini (hepatic disease) mara nyingi huanza taratibu na dalili zisizo wazi, ambazo zinaweza kuchanganyikiwa na hali nyingine...
Sababu za Kupoteza kumbukumbu Zipo sababu mbali mbali kwanini watu hupoteza kumbukumbu au uwezo wa kukumbuka mambo, na baadhi ya Sababu hizo ni pamoja na; 1....
Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa Maji Mwilini: Kunywa maji machache kuliko...
je kutokwa na uchafu mweupe ukeni ni ugonjwa Uchafu mweupe ukeni ukitoka na rangi nyeupe, kuonekana vizuri, pasipo na harufu ni kawaida, Ingawa mabadiliko haya huweza...