Connect with us

CHANJO

Chanjo za mtoto toka anazaliwa mpaka anapofikia Umri wa miaka 5

Doctor Ombeni

Published

on

Chanjo za mtoto

CHANJO ZA MTOTO TOKA ANAZALIWA MPAKA ANAPOFIKIA UMRI WA MIAKA 5

1. Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Kifua Kikuu Maarufu kama BCG

chanjo hii hutolewa kwa njia ya sindano bega la kulia, na huchomwa mara tu baada ya mtoto kuzaliwa au mara ya kwanza anapofika kliniki kama hakupewa baada ya kuzaliwa,

NB:Endapo KOVU halijatokea Begani, chanjo hii hurudiwa baada ya miezi 3

2. Chanjo ya Kuzuia ugonjwa wa Kupooza Yaani POLIO

Chanjo hii hutolewa kwa njia ya matone mdomoni mara tu baada ya mtoto kuzaliwa au mara ya kwanza anapofika kliniki kama hakupewa baada ya kuzaliwa,

Halafu hurudiwa baada ya mwezi 1, 2, na 3.

3. Chanjo ya PENTAVALENT(DTP)h

Chanjo hii huzuia magonjwa matano ambayo ni;

Chanjo hii hutolewa kwa njia ya sindano ya paja la Kushoto na hutolewa mtoto akiwa na umri wa mwezi 1, hurudiwa mwezi 2 na 3.

4. Chanjo ya PCV13

Chanjo hii husaidia kuzuia ugonjwa wa Pneumonia kwa mtoto

chanjo hii hutolewa kwa njia ya sindano ya paja la Kulia na hutolewa mtoto akiwa na umri wa mwezi 1, hurudiwa mwezi 2 na 3.

5. Chanjo ya ROTAX

Chanjo hii ni kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa Kuharisha kwa mtoto,

na hutolewa mtoto akiwa na umri wa mwezi 1 na kurudiwa mwezi 2.

6. Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa SURUA

Chanjo hii hutolewa mtoto akiwa na umri wa miezi 9 na miezi 18

7. VITAMIN A

Mtoto hupata vitamin A supplements akiwa na umri wa kuanzia miezi 6, 12,18,24,30,36,42 na 54

8. Dawa za MINYOO

Dawa za minyoo huanza kutolewa mtoto akiwa na umri wa kuanzia miezi 12,18,24,30,36,42 na 54

kwa Maelezo Zaidi na Msaada kuhusu kusoma KADI yako Ya KLINIKI Bofya hapa..!!

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa ya Zinaa2 weeks ago

Ugonjwa wa Genital herpes,chanzo,dalili na Tiba

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. HERPES SEHEMU ZA SIRI: DALILI, NAMNA INAVYOAMBUKIZWA, KINGA NA MATIBABU Herpes...

magonjwa1 day ago

Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba Hepatitis C ni nini?...

Uzazi&Ujauzito2 years ago

Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya ujauzito

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya...

Ebola1 day ago

Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya Takriban wafanyakazi 5,000...

Ebola1 day ago

Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke kupatikana na Ebola katika eneo la FCT

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke...

Ebola1 day ago

Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja, baada ya...

Ukimwi2 days ago

Maambukizi ya virusi vya ukimwi

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (Vvu): Njia Za Maambukizi Na Namna...

magonjwa2 days ago

Maambukizi ya bakteria wa shigella: dalili, njia za maambukizi, Matibabu Na Kinga

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Shigella ni aina ya bakteria wanaosababisha ugonjwa unaojulikana kama shigellosis, ambao...

magonjwa ya wanaume4 days ago

Mwanaume kushindwa kutungisha mimba

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Tumezoea kwenye jamii Zetu Mara nyingi linapokuja Swala la kutokupata Mtoto,Lawama...

Stars Health3 days ago

Papa aanza kurejea taratibu katika majukumu yake baada ya upasuaji wa Saratani ya Mapafu

🩺Medically reviewed by Afyaclass Teams, FACTS checked by Pediatrician. Vatican, Oktoba 18, 2026 — Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Papa...