Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

magonjwa

UGONJWA WA Pepopunda,Chanzo,Dalili NA TIBA

Doctor Ombeni

Published

on

230 Views
0 Comments

UGONJWA WA PEPOPUNDA(Tetanus),CHANZO,DALILI NA TIBA

Tetanus ni ugonjwa  hatari sana ambao kwa kiswahili hujulikana kama Pepopunda,Ugonjwa huu huhusisha athari kwenye mfumo wa Fahamu inayosababishwa na sumu ya Bacteria(toxin-producing bacterium)

Sumu hii kutoka kwa Bacteria mtu huweza kuipata baada ya kuchomwa na vitu vya ncha kali kama vile Misumari,Mabati,Chupa,sindano n.k

DALILI ZA TETANUS AU UGONJWA WA PEPOPUNDA

-Wastani kutoka kuambukizwa hadi kuonekana kwa ishara na dalili (kipindi cha incubation) ni siku 10.  Kipindi cha incubation kinaweza kuchukua siku 3 hadi 21.

Ishara na dalili za tetanus au pepopunda huanza pole pole kisha huendelea kuwa mbaya zaidi ndani ya wiki mbili.  Kawaida dalili huanza kuonekana kwenye taya na kuendelea kushuka chini ya mwilini.

Ishara na dalili za pepopunda ni pamoja na:

1. Misuli ya mwili kuwa na maumivu makali na kuwa migumu au kukakamaa,ugumu wa misuli kwenye taya n.k

2. Mvutano wa misuli kuzunguka midomo yako, wakati mwingine hutengeneza  kitu kinaitwa persistent grin

3.Misuli kukamaa na kuparalize au kupooza katika maeneo ya shingoni

4. Kupata shida sana ya kumeza kitu

5. Misuli ya tumboni kuwa migumu sana

6. Kukua kwa ugonjwa wa pepopunda husababisha maumivu yanayojirudia, pamoja na mgonjwa kupata mshtuko ambao hudumu kwa dakika kadhaa (spasms).

7. Kwa Kawaida, shingo na upande wa nyuma pamoja na miguu huwa migumu, mikono hunyooka kwa mbele huku ngumi zimekunjwa.

8. Ugumu wa misuli kwenye shingo na tumbo unaweza kusababisha shida ya kupumua.

• Kadri ugonjwa unavyoendelea, ishara zingine na dalili zinaweza kuonekana kama vile;

1. Shinikizo la damu kuwa juu au Mtu kuwa na Presha ya kupanda(High blood pressure)

2. Mapigo ya moyo kwenda mbio sana

3. Joto la mwili kuwa juu sana au mtu kuwa na Homa kali

4. Mgonjwa kuvuja Jasho sana mwilini

N.k

MATIBABU YA UGONJWA WA PEPOPUNDA

– Kama una dalili hizo hapo juu ni muhimu sana kuwahi hospital kwa ajili ya matibabu, au

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

230 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News6 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

231
0