Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

FAIDA ZA MBEGU NA MAJANI YA MLONGE MWILINI

Doctor Ombeni

Published

on

307 Views
0 Comments

 MLONGE

• • • • •

FAIDA ZA MBEGU NA MAJANI YA MLONGE MWILINI


Bila shaka ulishawahi kusikia kuhusu mlonge kama basi hujawahi kuuona au kuutumia, 


Mti huu una faida nyingi sana kwenye mwili wa binadamu, na katika makala hii tutachambua baadhi ya faida chache kuhusu matumizi ya mbegu za Mlonge pamoja na Majani yake


FAIDA ZA MBEGU ZA MLONGE PAMOJA NA MAJANI YAKE MWILINI


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana katika kuupa mwili nguvu


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kuongeza hamu ya chakula kwa mtu mwenye shida ya kukosa hamu ya kula


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kuondoa tatizo la mtu kuwashwa kutokana na mchafuko wa kwenye damu


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kuongeza kiwango cha CD-4 hivo kuwa faida kubwa kwa wagonjwa wa Ukimwi


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa wagonjwa wa Kisukari


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa wagonjwa wa shinikizo la Damu au Presha


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana hata kwa mgonjwa wa Malaria


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa mtu ambaye hupatwa na uchovu wa mara kwa mara


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa mtu ambaye hupatwa na Homa za mara kwa mara


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa watu Wenye Kansa au Saratani ya Tumbo


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kuongeza virutubisho muhimu mwilini kama vile; Madini ya Potassium, Calcium pamoja Na vitamin A na C


– Matumizi ya majani ya Mlonge husaidia sana kwa watu wenye magonjwa mbali mbali ya Ngozi


– Matumizi ya Mlonge husaidia sana kwa watu wanaopatwa na majipu ya Mara kwa mara


– Lakini pia baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba matumizi ya mlonge huongeza kiu ya maji, na kumfanya mtumiaji kunywa maji mengi swala ambalo ni muhimu sana na lina faida kubwa kwenye afya ya mwili


– Mlonge husaidia sana kuimarisha umeng’enyaji wa chakula mwilini


– Matumizi ya mlonge husaidia kuimarisha kinga yako ya mwili

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


307 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News5 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS7 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips11 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume15 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

308
0