Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

CHANZO CHA TATIZO LA KUPASUKA MIGUU KWENYE KISIGINO(gaga)

Doctor Ombeni

Published

on

116 Views
0 Comments

  MIGUU

• • • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA KUPASUKA MIGUU KWENYE KISIGINO(gaga)


Tatizo la kupasuka miguu kwenye visigino maarufu kama magaga, ni tatizo ambalo huwapata watu wengi na wengine hadi kufikia hatua ya kupata maumivu makali sana, damu kutoka n.k


CHANZO CHA TATIZO LA KUPASUKA MIGUU KWENYE KISIGINO(gaga)


– Ngozi ya miguuni kwenye Visigino kukauka kupita kiasi huweza kuchangia hali ya mpasuko kwenye visigino vya miguuni


–  Kutokana na presha kubwa au mgandamizo wa sehemu ya chini ya miguuni ambayo hubeba mwili mzima hasa wakati ukiwa umesimama husababisha ngozi ya kwenye kisigino kuvutika kupita kiasi hivo kupelekea kupasuka


– Maambukizi ya Fangasi wa miguuni yaani athlete’s foot huweza kuwa chanzo kingine cha tatizo hili


WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI ZAIDI YA KUPATA SHIDA HII YA KUPASUKA KWENYE KISIGINO


✓ Wanaopenda kutembea chini bila viatu mara kwa mara


✓ Wenye shida ya fangasi wa miguuni


✓ Ambao hawanywi maji ya kutosha kila siku


✓ Wanaokaa maeneo yenye baridi sana


✓ Ambao hawaoshi miguu yao mara kwa mara


✓ Wanaopenda kuoga na maji ya moto sana au kuweka miguu kwenye maji ya moto kwa muda mrefu


✓ Wenye ugonjwa wa Kisukari


✓ Wanaopenda kusugua miguu hasa ikiwa mikavu


✓ Wanene kupita kiasi au wenye tatizo la Uzito mkubwa


✓ Wanaofanya kazi za kusimama muda mrefu


✓ Wenye shida ya Eczema


✓ Na wenye matatizo mengine kama vile;


• Kuwa na kiwango kidogo cha hormones au vichocheo vya Thyroid  hali ambayo hujulikana kama Hypothyroidism


• Juvenile Plantar dermatosis


• Flat feet


N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



116 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

117
0