Connect with us

magonjwa

Tatizo la Kichomi,Chanzo,Dalili na Tiba Yake

Doctor Ombeni

Published

on

Tatizo la Kichomi,Chanzo,Dalili na Tiba Yake

Kichomi ni tatizo la maumivu ya Kifua(chest pain) ambayo huweza kuambatana na kushindwa kupumua,kuhisi kuungua,kifua kizito n.k kulingana na chanzo chake.

CHANZO CHA TATIZO LA KICHOMI

Tatizo la kichomi huweza kuhusisha shida ya mapafu,moyo n.k

1. Maumivu ya kifua(Kichomi) kutokana na shida kwenye moyo huweza kusababishwa na;

• Kuzuiwa kwa damu kwenda kwenye moyo,

tatizo la shambulio la Moyo(Heart attack)

• Kuzuiwa au kuziba kwa mishipa ya damu kwenda kwenye Moyo,

tatizo la Chembe ya Moyo(angina)

• Kuvimba kwa moyo yaani pericarditis,myocarditis n.k

• Magonjwa kwenye misuli ya moyo kama vile cardiomyopathy

• Matatizo kwenye mshipa wa Aorta kama vile; aortic dissection n.k

Vyote hivi huweza kupelekea Tatizo la kichomi.

2. Tatizo la Kichomi kutokana na shida kwenye mfumo wa Umeng’enyaji chakula kama vile;

  • Shida ya Gallstones
  • Tatizo la Acid Reflux, kiungulia
  •  Matatizo ya kushindwa kumeza vitu kutokana na shida kwenye esophageal
  •  Kuvimba kwa kongosho(Pancrease), Gallbladder n.k

3. Tatizo la Kichomi(Maumivu ya Kifua) kutokana na matatizo ya Mapafu kama vile;

– Shida ya bronchospasms ambayo hutokea sana kwa Wagonjwa wa Asthma na matatizo mengine kwenye mapafu kama vile;chronic obstructive pulmonary disease (COPD)

– Tatizo la pneumonia, pneumothorax

– Shida ya viral bronchitis

– Maambukizi ya vimelea mbali mbali vya magonjwa kama bacteria,virusi n.k kwenye vifuko vya hewa(Alveoli), mapafu n.k

– Shida ya damu kuganda,damu kutengeneza Clots na kusababisha tatizo la pulmonary embolism n.k

4. Tatizo la Kichomi kutokana na tatizo kwenye mbavu au matatizo ya kuvunjika(Rib- or fracture-related chest pain) kama vile;

  • Mtu Kuvunjika mbavu
  • Mbavu kuwa na vidonda
  • Mtu kubanwa sana Mbavu n.k

5. Tatizo la Kichomi kutokana na tatizo la Wasiwasi(Anxiety-related chest pain)

Hii huweza kuhusisha maumivu ya kifua(kichomi), mapigo ya moyo kwenda mbio,kukosa pumzi,kutoa sana jasho,kupumua kwa haraka sana n.k

DALILI ZA TATIZO HILI LA KICHOMI

Dalili za Tatizo la kichomi zinaweza kugawanywa kulingana na chanzo chake kama nilivyoeleza hapo juu,ila kwa Ujumla ni kama vile;

– Mtu kupata maumivu makali ya Kifua

– Mtu kushindwa kupumua

– Mtu kuhisi Kifua kuwa Kizito Sana

– Mtu kuhisi hali ya kuungua Kifuani

– Mtu kutoa jasho Sana

– Mtu kupata kizunguzungu

– Mtu kuhisi kichefuchefu na Kutapika

– Mtu kupata maumivu ya kifua wakati wa Kumeza kitu n.k

VIPIMO Kwa Mtu mwenye Tatizo la kichomi

Unaweza kufanya baadhi ya Vipimo kama una Tatizo la kichomi, Vipimo hivo ni ikiwemo;

• Electrocardiogram or ECG

• Blood tests

• Chest X-ray

• Echocardiogram

• Computerized tomography or CT scan n.k

MATIBABU ya Tatizo la kichomi

Tiba ya Tatizo la kichomi hutegemea na chanzo chake, ila kwa ujumla huweza kuhusisha;

– Matumizi ya Dawa mbali mbali,

– Huduma ya Upasuaji n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa ya Zinaa2 weeks ago

Ugonjwa wa Genital herpes,chanzo,dalili na Tiba

HERPES SEHEMU ZA SIRI: DALILI, NAMNA INAVYOAMBUKIZWA, KINGA NA MATIBABU Herpes sehemu za siri (Genital herpes) ni maambukizi ya zinaa...

magonjwa1 day ago

Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba

Ugonjwa wa Hepatitis C,chanzo chake,Dalili na Tiba Hepatitis C ni nini? Hepatitis C ni ugonjwa unaosababisha kuvimba na kuharibika kwa...

Uzazi&Ujauzito2 years ago

Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya ujauzito

Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili hadi miezi mitatu ya ujauzito. Fahamu Dalili za mimba changa kuanzia wiki mbili...

Ebola1 day ago

Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya

Baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa tisa nchini Kenya Takriban wafanyakazi 5,000 wa sekta ya afya wamepewa mafunzo ya jinsi ya...

Ebola1 day ago

Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke kupatikana na Ebola katika eneo la FCT

Hakuna haja ya hofu: Serikali ya Nigeria yasema baada ya mwanamke kupatikana na Ebola katika eneo la FCT Oktoba 20,...

Ebola1 day ago

Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja

Nigeria imethibitisha kisa cha Ebola katika mji mkuu Abuja, baada ya mwanamke aliyewasili kutoka Uganda kukutwa na virusi vya ugonjwa...

Ukimwi2 days ago

Maambukizi ya virusi vya ukimwi

Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (Vvu): Njia Za Maambukizi Na Namna Ya Kujikinga Virusi vya UKIMWI (VVU) ni nini? Virusi...

magonjwa2 days ago

Maambukizi ya bakteria wa shigella: dalili, njia za maambukizi, Matibabu Na Kinga

Shigella ni aina ya bakteria wanaosababisha ugonjwa unaojulikana kama shigellosis, ambao huathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, hasa utumbo mpana....

magonjwa ya wanaume4 days ago

Mwanaume kushindwa kutungisha mimba

Tumezoea kwenye jamii Zetu Mara nyingi linapokuja Swala la kutokupata Mtoto,Lawama zote ni kwa Mwanamke,Lakini fahamu hata mwanaume anaweza kuwa...

Stars Health3 days ago

Papa aanza kurejea taratibu katika majukumu yake baada ya upasuaji wa Saratani ya Mapafu

Vatican, Oktoba 18, 2026 — Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani mwenye umri wa...