Connect with us

afyatips

Tofauti kati ya Dawa za Minyoo za ALBENDAZOLE na MEBENDAZOLE

Doctor Ombeni

Published

on

  DAWA ZA MINYOO

• • • • •

Tofauti kati ya Dawa za Minyoo za ALBENDAZOLE na MEBENDAZOLE


Katika makala hii tunachambua kuhusu tofauti iliyopo kwenye hizi aina mbili za dawa za minyoo;


1. ALBENDAZOLE


– Hii ni dawa ya minyoo ambayo hutibu vizuri maambukizi ya minyoo jamii ya TAPEWORMS, neurocysticercosis, giardiasis,trichuriasis n.k


– Maudhi madogo madogo yanayoweza kutokea  kwa baadhi ya watu baada ya kutumia dawa hizi ni pamoja na; kuhisi kichefuchefu, maumivu ya tumbo na maumivu ya kichwa


– Dawa ya Minyoo aina ya ALBENDAZOLE hufanya kazi vizuri sana juu ya maambukizi ya Minyoo jamii ya Tapeworms au Flatworms, Nematodes, Giardiasis, Microsporidiosis,granulomatous,amoebic encephalitis,Arthropods n.k


– Dawa hizi sio salama kwa MAMA MJAMZITO hasa katika miezi mitatu ya mwanzoni ya ujauzito yaani FIRST TRIMESTER kwani huweza kusababisha madhara katika uumbaji wa mtoto yaani Teratogenic effects


2. MEBENDAZOLE


– Dawa hizi kufanya kazi vizuri sana dhidi ya minyoo jamii ya PARASITIC WORMS kama vile; HOOKWORMS, Ascariasis, Pinworm N.k


– Dawa hizi ni salama kwa MAMA MJAMZITO, hivo huweza kutumiwa na mama akiwa na mimba


– Maudhi madogo madogo ambayo huweza kuwapata baadhi ya watu baada ya kutumia dawa hizi ni pamoja na; Kupata maumivu ya tumbo


– Dawa hizi ni salama kwa watoto kuanzia miaka 2


– Dawa hizi sio salama sana kwa Watu wenye umri mkubwa au wazee pamoja na watoto kuanzia umri wa miezi 6 mpaka miaka 2


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

Utafiti8 hours ago

Wanaume Wahimizwa Kupima Saratani ya Tezi Dume Kuanzia Miaka 50

Wanaume Wahimizwa Kupima Saratani ya Tezi Dume Kuanzia Miaka 50 Chanzo: CNN Health Mwandishi: Jacqueline Howard Tarehe: Novemba 12, 2026...

magonjwa ya watoto10 hours ago

Changamoto ya Ngozi Kwa Watoto,fahamu hapa

Changamoto ya Ngozi Kwa Watoto: Sababu, Dalili, Magonjwa Yanayoonekana Mara kwa Mara na Njia za Kuzuia Ngozi ni kiungo kikubwa...

Utafiti15 hours ago

Asilimia 63 ya Wauzaji wa Matunda Wanatumia Kemikali Kuchelewesha au Kuharakisha Kuiva kwa Ndizi na Nyanya

Wataalamu waonya kuhusu matumizi yasiyo sahihi ya kemikali katika kuiva kwa matunda, wakisema baadhi ya kemikali zinaweza kuwa na madhara...

WHO1 day ago

WHO yatoa Miongozo ya Kwanza ya Utambuzi na Udhibiti wa Kisukari cha Aina ya Kwanza kwa Watu Wazima

Shirika la Afya Duniani (World Health Organization – WHO) limetoa kwa mara ya kwanza miongozo ya kimataifa kuhusu utambuzi na...

magonjwa ya wanaume2 years ago

Madhara ya punyeto,Soma Hapa Kufahamu ukweli wa Mambo

Madhara ya punyeto,Soma Hapa Kufahamu ukweli wa Mambo Tabia hii imekuwa ikiwaathiri Wanaume Wengi kwa hivi Sasa,Je unazifahamu athari au...

magonjwa1 day ago

HPV ni Ugonjwa gani?,Fahamu hapa

Human Papilloma Virus (HPV): Maana Yake, Magonjwa Inayosababisha Na Athari Zake Kwa Afya Human Papilloma Virus (HPV) ni nini? Human...

Hospital1 day ago

Waziri wa Afya,amewapongeza watumishi wanne kwa kuokoa maisha ya mama na mtoto

Waziri wa Afya,amewapongeza watumishi wanne kwa kuokoa maisha ya mama na mtoto Waziri wa Afya, Mohamed Omary Mchengerwa, amewapongeza watumishi...

Ebola2 days ago

Ugonjwa wa Ebola ulivyoleta Athari kwa watoto DRC

Ugonjwa wa Ebola ulivyoleta Athari kwa watoto DRC Kufikia tarehe 4 Novemba, watoto 2,959 wenye umri chini ya miaka 18...

magonjwa ya wanawake3 days ago

Madhara ya kuvurugika kwa homoni za kike (Hormonal Imbalance in women)

Kuvurugika kwa hormone au vichocheo ni nini? Kuvurugika kwa hormone au vichocheo hutokea pale mwili unapozalisha homoni kwa kiwango kikubwa...

Hospital4 days ago

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery)

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery) Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa...