Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

MAGONJWA YA ZINAA-SEXUAL TRANSMITTED DISEASES(STD’s),AINA ZAKE,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Doctor Ombeni

Published

on

206 Views
0 Comments

  MAGONJWA YA ZINAA-SEXUAL TRANSMITTED DISEASES(STD’s),AINA ZAKE,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE

➡️ Ombeni Mkumbwa

🔴 SUMMARY

Katika Makala hii tutajadili kuhusu Magonjwa ya zinaa, na tutagusia katika Vipengele vifuatavyo;

(1) Maana ya Magonjwa ya Zinaa ambapo kitaalam Hujulikana kama Sexual Transmitted Diseases(STD’s) 

(2) Aina zote za Magonjwa ya Zinaa pamoja na visababishi vyake-  Sexual Transmitted Diseases(STD’s) types and Causes.

(3) Dalili za Magonjwa ya Zinaa-  Sexual Transmitted Diseases(STD’s)

(4) Makundi ambayo yapo katika hatari zaidi ya kupata Magonjwa ya Zinaa-  Sexual Transmitted Diseases(STD’s)

(5) Tiba ya Magonjwa ya zinaa-  Sexual Transmitted Diseases(STD’s)

☑️ SOMO KAMILI

Magonjwa ya zinaa ambapo kwa Kitaalam hujulikana kama Sexual Transmitted Diseases(STD’s)- Ni magonjwa yote ambayo Njia kuu ya uenezwaji wake ni Ngono au huambukizwa kutoka kwa Mtu Mmoja kwenda kwa Mwingine kwa Njia ya Ngono ama Kujamiana/Kufanya Tendo la Ndoa(Sexual Intercourse). Na magonjwa haya yapo mengi na aina tofauti tofauti kama Ufatavyo;

AINA ZA MAGONJWA YA ZINAA-SEXUAL TRANSMITTED DISEASES(STD’s)

  1. Ugonjwa wa UKIMWI-HIV
  2. Ugonjwa wa Kisonono au kwa itaalam huitwa Gonorhea
  3. Ugonjwa wa Kaswende au kwa kitaalam huitwa syphilis
  4. Ugonjwa wa Homa ya Ini ambapo kaa kitaalam huitwa Hepatitis
  5. Ugonjwa wa Chlamydia N.k

VISABABISHI VYA MAGONJWA YA ZINAA-SEXUAL TRANSMITTED DISEASES(STD’s)

– Kufanya Mapenzi katika Umri mdogo
– Kufanya Ngono zembe pasipo kutumia Kinga Kama vile Kondom
– Kufanya mapenzi au kushiriki tendo la Ndoa kinyume na maumbile
– Tabia ya kuwa na wapenzi wengi

DALILI ZA MAGONJWA YA ZINAA KWA UJUMLA WAKE-SIGNS AND SYMPTOMS OF SEXUAL TRANSMMITED DISEASES(STD’s)

🔻Kutokwa na Usaha sehemu za siri kwa mwanaume na mwanamke pia
🔻Kutokwa na Uchafu wenye rangi kama maziwa,njano,Cream n.k ambao huambatana na harufu kali ukeni
🔻Kupatwa na miwasho ukeni au katika sehemu za Siri kwa mwanaume na mwanamke
🔻Kutokwa na Damu ukeni wakati wa kushiriki Tendo la Ndoa
🔻Kupata maumivu makali sana ukeni wakati wa Tendo la Ndoa
🔻Maumivu makali ya Tumbo chini ya kitovu
🔻Kuumwa na Homa, mwili kukosa Nguvu,kusikia kichefuchefu na kutapika Pia
🔻Kutokwa na Maji maji yenye harufu mbaya sehemu za Siri
🔻Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa,sehemu za siri kuungua,kuchubuka na mkojo kuchoma

MADHARA YA KUPATA MAGONJWA YA ZINAA- EFFECTS OF SEXUAL TRANSMMITED DISEASES 

  • Kukosa mtoto au kushindwa kubeba Mimba kwa mwanamke
  • Maumivu wakati wa tendo la Ndoa
  • Kukimbiwa na mume kutokana na kutokwa na uchafu au maji maji yenye harufu kali ukeni
  • Kifo

MAKUNDI YA WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA ZINAA- RISK GROUPS FOR SEXUAL TRANSMMITED DISEASES

1️⃣ Watu wenye wapenzi wengi

2️⃣ Watu wanaoshiriki mapenzi kinyume na maumbile

3️⃣ Wanaofanya ngono zembe-Unsafe sexual intercourse

4️⃣ Wanaoanza kufanya mapenzi wakiwa katika Umri Mdogo

MATIBABU

Matibabu Ya Magonjwa ya Zinaa hutegemea na aina ya Ugonjwa wa zinaa uliokupata,hivo basi kwa Ushauri ni bora kwenda hosptal kama Una dalili zozote ambazo huzielewi ili kupata Msaada kutoka kwa Wataalam wa afya,Ili kupata tiba kutokana na Ugonjwa Husika.


@kwa Ushauri zaidi,Elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584 piga simu au Tuma Ujumbe utahudumiwa kwa haraka popote ulipo.

#Magonjwayazinaa #afyabora #ushindi

Karibu Sana..!!



206 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News5 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS7 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips11 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume15 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

207
0