VITU VINAVYOMKOSESHA FURAHA MWANAMKE

 Moja ya vitu ambavyo vinaweza kukukosesha furaha kama mwanamke ni kuumwa.

.

Leo nazungumzia tabia ambayo inaweza kukuletea ugonjwa wa FANGASI.

.

Kuvaa nguo ya ndani ambayo haijakauka vizuri

.

Kuvaa nguo au mavazi yanayoleta joto sana sehemu za siri kwa muda mrefu kama nguo za kuogelea (swimwear), nguo za ndani (chupi) zilizotengenezwa kwa kitambaa aina ya nylon, nguo za ndani zinazobana sana

.

Kwa kuongezea Mojawapo ya Dalili ya fangasi ambayo unaweza kuipata ni MIWASHO sehem za siri pamoja na kutokwa na uchafu wenye harufu pamoja na rangi kama maziwa

.

Epuka Tabia hii ili kuwa,salama

#fangasi 

#ombenimkumbwa

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!