Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

DALILI ZA FANGASI SUGU NA JINSI YA KUZITIBU

Doctor Ombeni

Published

on

149 Views
0 Comments

FANGASI SUGU


•••••••••••

DALILI ZA FANGASI SUGU NA JINSI YA KUZITIBU


Kwanza tuanzie hapa, tukisema fangasi sugu tunamaanisha nini?

Fangasi Sugu; Ni fangasi ambao wamekuwa wakijirudia rudia mara kwa mara na kwa Mda mrefu licha ya kutumia Dawa za aina tofauti tofauti lakini bado wapo.


Mashambulizi ya Fangasi huhusisha maeneo mbali mbali katika mwili wa binadamu Kama vile;

– Kuna fangasi wa Sehemu za siri za mwanamke na mwanaume
– Kuna fangasi wa kwenye Damu
– Kuna fangasi wa kwenye ngozi
– Kuna fangasi wa kichwani
– Kuna fangasi wa kwenye ulimi
– Kuna fangasi wa mdomoni
– Kuna fangasi wa miguuni
– Kuna fangasi wa vidoleni vya mikono na miguu


Wanawake huteswa zaidi na fangasi wa Sehemu za Siri ambapo kwa asilimia kubwa jamii ya Candida Albicans huhusika.


DALILI ZA FANGASI NI PAMOJA;

  • Kuwashwa sehemu za siri, kwenye ngozi na hasa katikati ya vidole vya miguuni na mikononi
  • Kupatwa na michubuko sehemu za siri pamoja na miguuni
  • Kutokwa na uchafu wenye rangi kama maziwa kutoka sehemu za siri za mwanamke
  • Kubadilika rangi na kuwa nyekundu kwenye mashavu ya uke,kuzunguka eneo lote la sehemu za siri pamoja na ngozi ya korodani ya mwanaume
  • Kutokwa na uchafu kama ukurutu kwenye ngozi
  • Sehemu za siri kupata moto sana


MADHARA YA FANGASI SUGU

– Kutokwa na uchafu unaonuka mara kwa mara
– Uke kuwa mkavu na kupelekea maumivu  makali wakati wa tendo
– Miwasho inayokera hata ukiwa mbele za watu



MATIBABU


Matibabu ya Fangasi hutegemea eneo,dalili pamoja na chanzo cha Fangasi,hivo ni vzur kuongea kwanza na wataalam wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


149 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

150
0