Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

DALILI ZA MIMBA KUHARIBIKA PAMOJA NA CHANZO CHAKE(Tatizo kwa wanawake wengi)

Doctor Ombeni

Published

on

128 Views
0 Comments

 MIMBA KUHARIBIKA

• • • • •

DALILI ZA MIMBA KUHARIBIKA PAMOJA NA CHANZO CHAKE(Tatizo kwa wanawake wengi)



Mimba nyingi huhuribika kabla ya kufikia miezi mitatu(3) au tunasema huharibika katika miezi mitatu ya mwanzoni yaani kwa kitaalam First Trimester. je utajuaje kama ujauzito unatoka? Zipi ni dalili zake?


DALILI ZA MIMBA KUHARIBIKA NI PAMOJA;


– Mwanamke kupatwa na maumivu makali sana ya tumbo,wengine wanasema tumbo linakata.


– Kuanza kutokwa na damu ukeni wakati wewe ni mjamzito, Japo sio kila damu ikitoka basi wewe mimba yako inatoka, lahasha! kuna baadhi ya wanawake wachache ambao licha ya kuwa ni wajawazito hupata period ile miezi ya mwanzoni,na wengine hutokwa na vidamu damu kwa sababu ya mgandamizo wakati mtoto akijishikiza kwenye ukuta wa mji wa mimba kitendo ambacho hujulikana kama implantation.


– Mwanamke kupata maumivu makali ya kiuno


– Mwili kuchoka na kulegea


– Joto la mwili kupanda au Kuwa na Homa


SABABU ZA MIMBA KUHARIBIKA NI PAMOJA NA;


1. Mabadiliko ya vichocheo vya mwilini yaani hormone Imbalance


2. Magonjwa ambayo hutokana na kinga ya mwili, ambapo mwili hutengeneza antigen ambazo zinashambulia mwili wake wenyewe


3. Shida katika vinasababa vya mwanamke au tunasema Genetic factor


4. Mwanamke kuwa na shida ya uvimbe kwenye kizazi


5. Shida ambayo hutokana na maumbile ya mji wa mimba ulivyo kwa mwanamke mwenyewe


6. Mwanamke kuwa na tatizo la uzito mkubwa


7. Matumizi ya dawa hovio ambapo dawa zingine huweza kusababisha mimba kutoka


8. Unywaji wa pombe pamoja na uvutaji wa sigara wakati wa ujauzito


9. Mwanamke kupata ajali kwa kuanguka,kupigwa N.K


10. Matumizi ya vitu vyenye sumu,au sumu ya kimazingira


11. Matumizi ya vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha Caffeine


N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




128 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

129
0