Connect with us

afyatips

TATIZO LA TUNDU LA MKOJO KWA MWANAUME KUWA CHINI BADALA YA MBELE kwenye Uume(Hypospadias)

Doctor Ombeni

Published

on

139 Views
0 Comments

 hypospadias

• • • • •

TATIZO LA TUNDU LA MKOJO KWA MWANAUME KUWA CHINI BADALA YA MBELE kwenye Uume(Hypospadias)


Tatizo la tundu la mkojo kwa mwanaume kuwa chini badala ya mbele kwenye Uume ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Hypospadias, huweza kugundulika baada ya mtoto kuzaliwa, na wakati wa kukojoa.


DALILI ZA TATIZO HILI NI PAMOJA NA


– mwanaume kuonekana kuwa na tundu la mkojo kwa chini ya uume badala ya mbele


– Mwanamke kukojoa na mkojo kutokea kwa chini


– Uume kupinda kuelekea chini

n.k


CHANZO CHA TATIZO HILI


– Tatizo hili hutokea wakati wa uumbaji wa mtoto, ambapo hitilafu huhusisha vichocheo au hormones zinazohusika na urekebishaji wa njia ya mkojo yaani Urethral pamoja na ngozi ya mbele foreskin.


WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA SHIDA HII


✓ Kuwa katika familia au koo ambapo kuna mtu aliyepatwa na tatizo hili


✓ Mama kubeba mimba akiwa na umri wa zaidi ya miaka 35


✓ Mama mjamzito kula sumu,kemikali au dawa zozote ambazo huweza kuathiri uumbaji wa mtoto na kusababisha hali ya ulemavu


MATIBABU YA TATIZO HILI


– Huhusisha njia ya upasuaji ambapo mwanaume hufanyiwa upasuaji na kurekebishwa shida hii.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


139 Views
0 Comments

Medical Disclaimer

Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

WHO57 minutes ago

WHO na Jumuiya ya Madola Zafanya Upya Ushirikiano wa Kuimarisha Mifumo ya Afya

Shirika la Afya Duniani (WHO) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Secretariat) zimekubaliana kuhuisha makubaliano yao ya ushirikiano kwa...

magonjwa ya wanawake1 day ago

Mabadiliko ya Hedhi (CHANZO, DALILI NA TIBA)

Mabadiliko ya Hedhi (CHANZO, DALILI NA TIBA)  Mabadiliko ya Hedhi ni hali ambapo mzunguko wa hedhi hauwi kwa mpangilio wake...

EVENTS1 day ago

Japan yafikisha Rekodi ya Watu Zaidi ya 100,000 Wenye Miaka 100 au Zaidi

Japan imeweka rekodi mpya ya idadi ya watu wenye umri wa miaka 100 au zaidi, huku idadi yao ikifikia zaidi...

Utafiti1 day ago

Saratani yaathiri zaidi watu wa UMRI WA kufanya kazi AFRIKA

Utafiti mpya umeonyesha kuwa saratani inaendelea kuwa changamoto kubwa ya kiafya barani Afrika, huku watu walio katika umri wa kufanya...

Ebola2 days ago

Ebola yaendelea Kuua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo: Vifo Vyafikia 3,605

Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuwa changamoto kubwa kiafya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), huku maelfu...

Uzazi/Ujauzito4 days ago

Sababu za mapacha wengi kuwa kwenye hatari ya kupoteza maisha

Mimba ya mapacha inaweza kuendelea vizuri na watoto wakazaliwa wakiwa salama. Hata hivyo, ikilinganishwa na mimba ya mtoto mmoja, mimba...

mazingira2 days ago

Mafuriko Nepal: Takribani Watu 1,400 Wafariki, Maelfu Hawajulikani Walipo

Nepal imekumbwa na moja ya majanga makubwa ya mafuriko na maporomoko ya ardhi baada ya kuporomoka kwa sehemu ya mlima...

Afya News2 days ago

Mwanaume Akutwa na Sindano Nyingi Ndani ya Mwili, Moja Ikiwa Karibu na Moyo

Tukio la Kushangaza Limeripotiwa nchini China baada ya madaktari kumgundua mwanaume mwenye umri wa miaka 35 akiwa na vitu vingi...

magonjwa ya wanaume4 days ago

Mwanaume kuwa na korodani moja

Mwanaume Kuwa na Korodani Moja: Sababu, Madhara na Uwezo wa Kupata Watoto Hali hii ya Mwanaume kuwa na Korodani moja...

CHANJO4 days ago

Burundi Yazindua Chanjo ya HPV kwa Wasichana wa Miaka 9 hadi 14

Burundi imeanza kutoa chanjo dhidi ya Human Papillomavirus (HPV) kwa wasichana wenye umri wa miaka 9 hadi 14, ikiwa ni...

140
0