Connect with us

Magonjwa

Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito… Soma Hapa

Avatar photo

Published

on

Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito… Soma Hapa

Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa baadhi kama ifuatavyo:

1. Kunywa Pombe

Mwanamke mjamzito hapaswi kunywa pombe. Unywaji wa pombe kwa mjamzito husababisha mjamzito kujifungua kabla ya muda, kuzaa watoto njiti (low birth weight babies), kuharibu mfumo wa ubongo au ufikiri wa mtoto na kuharibu mfumo wa viungo vya mwili vya mtoto.

2. Kuzidisha kunywa vinywaji vya chai, Kahawa, Energy na vyakula vya Chokoleti (chocolate)

Vinywaji vya Chai, kahawa, Energy na vyakula vya Chokoleti vina kilevi aina ya Caffeine, Utafiti wa kisayansi unasema kwamba kuzidisha sana kilevi cha Caffeine wakati wa ujauzito unaongeza uwezekano mkubwa wa kuharibu ujauzito (miscarriage). Kwa hiyo inatakiwa mjamzito apunguze matumizi ya vyakula hivi ili kunusuru ujauzito wake.

Inatakiwa mjamzito anywe si zaidi ya kikombe kimoja cha chai au kahawa kwa siku, pia kwa upande wa vinywaji vya Energy inatakiwa mjamzito anywe si zaidi ya mls 250 kwa siku.

3. Kula vyakula vya kupunguza uzito

Mjamzito hapaswi kula vyakula vya kupunguza uzito, kwani ulaji wa vyakula hivyo hata kwa muda mfupi huleta athari kubwa kwa mtoto wako alie tumboni. Mjamzito pamoja na mtoto aliyetumboni wanahitaji muendelezo wa virutubisho mbalimbali wakati wote wa ujauzito na baada ya kujifungua.

Kama nilivyokwisha kueleza kwenye makala ya kwanza kuhusiana na Lishe kwa wajawazito, nilieleza kwamba Ongezeko la uzito kwa mjamzito ni kiashiria tosha kinachoonyesha kwamba ujauzito una afya njema.

Ingawaje kwa upande mwingine vyakula vya kupunguza uzito havina virutubisho muhimu vinavyotakiwa katika ukuaji na maendeleo ya mtoto aliyetumboni. Ongezeko la uzito kwa mjamzito ni ishara ya ujauzito wenye afya njema, kwa hiyo mjamzito asithubutu kupunguza uzito. Kusoma makala ya kwanza kuhusu “Lishe bora kwa wajawazito.”

4. Kutumia dawa za matibabu pasipo kuruhusiwa na wataalamu wa afya.

Mjamzito haruhusiwi kutumia dawa zozote zile za matibabu pasipo kuruhusiwa na daktari, Kwa sababu dawa hizo huweza kuleta shida kwenye ujauzito ikiwa ni pamoja na kutoa ujauzito, shida ya kujifungua na madhara kwa mtoto aliyetumboni.

5. Kutumia dawa za kulevya

Mjamzito haruhusiwi kutumia madawa ya kulevya ya aina yoyote ile kama Unga (Cocaine, Heroine na nyinginezo) na bangi. Madawa hayo hupita kwa urahisi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, na kuathiri ukuaji wa mtoto, vilevile dawa hizo husababisha mjamzito kujifungua kabla ya muda, kujifungua watoto njiti, mtoto kufia tumboni, watoto kufariki ghafra baada ya kuzaliwa kuanzia siku 0 hadi miezi 6 pia hadi kufikia miaka miwili.

6. Kuvuta sigara au bidhaa zingine za Tumbaku au kutafuna Tumbaku. Uvutaji wa sigara au bidhaa zingine za tumbaku au kutafuna Tumbaku ni hatari sana kwa afya ya mjamzito pamoja na mtoto, kwa hiyo mjamzito haruhusiwi kutumia bidhaa hizo. Moshi wa sigara huzuia damu isifike kwa mtoto kwa hali hiyo huzuia hewa safi ya Oksijeni, virutubisho kufika kwa mtoto pia huzuia uchafu kutoka kwa mtoto kwenda nje ya mfuko wa mtoto. Hali hii huweza kusababisha kifo cha mtoto akiwa tumboni.

Vilevile uvutaji wa sigara husababisha kuzaliwa watoto njiti, pia huharibu mfumo wa ukuaji wa mapafu ya mtoto na huongeza hatari ya kusababisha madhara ya mfumo wa upumuaji na kupata ugonjwa wa pumu (Asthma)  kwa mtoto mara atakapozaliwa.

Via: Additional Todaytips

Cc:globalpublishers

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa2 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...