Wajawazito 43,323 wagundulika kuwa na VVU Takwimu za Wizara ya Afya zinaonesha jumla ya Vituo 7,830 sawa na 96% ya Vituo 8,164 vinavyotoa Huduma za Afya...
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya Tezi dume inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote,...
Faida na hasara za kukanda mwili Watu wengi wana Desturi ya kukanda mwili kwa maji ya moto hasa kwa wakina mama baada ya kujifungua, Je, kukanda...
Mtoto huweza kuzaliwa akiwa na mabaka mabaka ya rangi ya blue hasa hasa maeneo ya makalioni na mgongoni, mabaka mabaka haya kwa kitaalam hujulikana kama Mongolian...
Hatari ya Upungufu wa damu kwa mama Mjamzito Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO, hivi sasa takriban asilimia 30% ya watu duniani wanatatizo la...
Dalili za uchungu wiki ya 37,Soma hapa kufahamu Wiki ya 37 ya ujauzito uumbaji wa mtoto unakuwa umekamili na huweza kuishi bila uangalizi maalumu akizaliwa. Uzito...
Njia za kuongeza uchungu kwa mjamzito Kuongeza uchungu kwa mjamzito, hasa pale ambapo uchungu umesimama au haujaanza kama inavyotarajiwa, ni jambo ambalo linapaswa kufanywa chini ya...
Uhaba wa vifaa wachochea ongezeko la vifo vya watoto Kenya Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya vimetajwa kuwa chanzo kikuu...
Hii ni mikoa 10 inayoongoza kwa uzazi wa mpango Tanzania Miongoni mwa masuala yanayogusa zaidi vijana wengi waliopo kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa kwa sasa...
Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa mama Mjamzito Kama wewe ni mwanamke unayeishi na virusi vya UKIMWI (VVU) haupaswi kukata tamaa juu ya wazo lako la kuwa...
Fahamu Vyakula vya kula wakati wa maandalizi ya kubeba ujauzito Yapo maandalizi mbalimbali ambayo wenza wanaokusudia kutafuta ujauzito wanapaswa kuyafanya. Miongoni mwa maandalizi hayo ni kuwa...
Madhara ya Pombe kwa Mama mjamzito Matumizi ya pombe wakati wa ujauzito yanaweza kuwa na madhara makubwa na ya muda mrefu kwa mtoto anayekua. Hapa kwenye...
Jinsi ya kudhibiti hali ya kuvimba miguu kwa mama mjamzito. Swala la kuvimba miguu kwa mama mjamzito ni kawaida, na hii hutokana na kiwango Zaidi cha...
Kutoka damu wakati wa mimba changa Ujauzito ukiwa mchanga,kutoa vidamu ambavyo tunasema “spotting” ni kawaida, na hali hii hutokea wakati kiumbe kinachokua tumboni(developing embryo) kinajishikiza kwenye...
Vyakula vya mama aliyejifungua Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua? Kwa miezi 9, chakula ulichokula kilikusaidia wewe pamoja na mtoto wako. Lakini...
SAYANA PRESS ni nini? Je,ni Njia mpya ya Uzazi wa mpango? SAYANA PRESS ni nini? Hii ni njia mpya ya Uzazi wa mpango, njia hii huzuia...
Kubadilika kwa homoni na mabadiliko katika mzunguko wa damu kunaweza kupunguza shinikizo la damu wakati wa ujauzito, haswa katika miezi mitatu ya kwanza (trimester 1) na...
Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito… Soma Hapa Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa baadhi kama ifuatavyo: 1. Kunywa Pombe Mwanamke...
kuongezeka uzito kipindi cha ujauzito Wanawake wengi wakiwa wajawazito lazima waongezeke uzito kati ya kilograms 11.5 mpaka 16 kilograms), Wengi wao watapata ongezeko la kilogram 1...
Sababu za kupumzika kitandani au kuanza Bed rest wakati wa ujauzito Sababu za kupumzika kitandani au kuanza Bed rest wakati wa ujauzito ni pamoja na; –...
Chanzo cha kuvuja damu mapema katika ujauzito ni nini? Kuvuja damu kabla ya wiki 28 za ujauzito hudhaniwa kuwa ni kuvuja damu mapema katika ujauzito. Ikitokea...
Maambukizi ya Dengue wakati wa ujauzito huweza kudhuru afya ya watoto wachanga: Utafiti unaonyesha kwamba hata maambukizi madogo ya Dengue yanahusishwa na tatizo la kuzaa watoto...
Magonjwa yanayoweza kudhuru Mtoto wakati wa Ujauzito au Kujifungua Magonjwa yanayoweza kudhuru Mtoto wakati wa Ujauzito au Kujifungua Hapa chini unaweza kusoma kuhusu magonjwa fulani yanayoweza kudhuru mtoto wakati...
Madhara Ya Muingiliano Wa Rhesus Factor Kwa Ujauzito(Kwa Mama Mwenye Blood Group Negative Na Baba Positive) Hasa Katika Ujauzito Wa Pili Kama tulivyoeleza kwenye makala mbali...
Sababu za Kutokubeba Ujauzito(Sababu za kutokushika Mimba) Hizi ni baadhi ya Sababu ambazo hupelekea mwanamke kutokushika Mimba au kutokubeba Ujauzito, 1. Kutokujaribu kwa Muda mrefu au...
Maumivu ya tumbo wakati wa Ujauzito,chanzo chake ni nini? Wanawake wengi hulalamika tatizo hili la Maumivu ya tumbo wakati wa Ujauzito, je ni hali ya kawaida...
Massage wakati wa UJAUZITO ni tofauti kabsa na massage Zingine Kwa wale ambao wana Utaratibu wa Kufanyia Miili yao Massage, ni muhimu sana kufahamu hili, Massage...
Dalili za Mara kwa Mara za Malaria katika Ujauzito; Hizi hapa ni dalili ambazo Mara nyingi hutokea kwa Mama Mjamzito mwenye Malaria, – Kupata Homa –...
Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake? kwanza Njia za Uzazi wa Mpango zimegawanyika katika Makundi yafuatayo; (a) Kuna Njia za asili au Tradition methods...