Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

FAHAMU KUHUSIANA NA TATIZO LA KUKOSA USINGIZI, KUAMKA MARA KWA MARA USIKU, KUCHELEWA KUPATA USINGIZI AU KUSHINDWA KUPATA USINGIZI TENA MARA BAADA YA KUSHITUKA

Doctor Ombeni

Published

on

131 Views
0 Comments

USINGIZI

• • • • • •

FAHAMU KUHUSIANA NA TATIZO LA KUKOSA USINGIZI, KUAMKA MARA KWA MARA USIKU, KUCHELEWA KUPATA USINGIZI AU KUSHINDWA KUPATA USINGIZI TENA MARA BAADA YA KUSHITUKA. 


Iwapo mtu ana muda wa kutosha wengi ulala masaa 7-8 kwa usiku.  Kupitia vipimo kama EEG, EOG na EMG usingizi umegawanywa katika hatua kuu 2 ambazo hufatana na hujirudia rudia katika kipindi chote mtu awapo usingizini. 


1. Mwendo wa haraka wa macho

2. Mwendo husio haraka,  hatua hii pia imegawanyika ktk hatua 3. 

Umri unanafasi kubwa ktk mpangilio mzima wa usingizi. 


Ukosefu wa usingizi huathiri utambuzi.  Tafiti zinaonesha ukosefu wa usingizi huweza kusababisha kisukari,  uzito uliopitiliza, kupungua kwa ufanyaji kazi wa kinga mwili,  hatar za magonjwa ya moyo nk. 


Swala la usingizi na kuwa macho linaendeshwa na ubongo.  Iwapo kuna tatizo ktk sehemu husika basi mtu atapata tatizo.  Baadhi ya seli za fahamu hupotea kadri umri unavyokwenda na hii hupelekea watu ambao umri umeenda kupata shida ktk kudumisha usingizi. Kuharibika kwa seli za fahamu zinazohusika na ile hatua ya mwendo wa haraka wa macho (REM)  hupelekea watu kuigiza kile wanachokiota wakiwa usingizini. 


Mtu anapokuwa macho kwa muda mrefu kiwango cha adenosine kinaongezeka ktk maeneo ya ubongo na hivyo adenosine huzuia yale maeneo yanayomfanya mtu awe macho na hivyo mtu huyo hupata usingizi.  Prostaglandin D2 hufanya kazi sawa na adenosine. 


INSOMNIA(kushindwa kuanzisha au kudumisha usingizi usiku). Watu wenye usingizi hafifu uhisi kuwa hali hii inawaathiri na kushusha utendaji kazi wao kazini na ktk jamii.  Watu wenyr tatizo hili pia huhisi kuchoka,  kupungua kwa mihemko na matatizo ktk utambuzi. 


10% ya watu huwa na tatizo sugu linalodumu zaidi ya miezi 3.  Huwapata zaidi wanawake, watu wazima/wazee,  watu wa hali ya chin,  wanaotumia madawa na wenye matatizo ya akili. 


30% ya watu huwa na tatizo la muda mfupi,  na huchangiwa na msongo wa mawazo(stress mbali mbali za maisha)  kama kukosa kazi,  magonjwa nk


Mara nyingi tatixo hili huanza ukubwani.  Tafiti zinaonesha tatizo hili linaambatana na kuchochewa kwa sehemu za ubongo ambazo hufanya kazi mtu awapo macho. 

By Emmanuel


Fuatilia mwendelezo wa somo hili ktk makala ijayo.  Asante



131 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News6 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

132
0