Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

CHANZO CHA MAMA MJAMZITO KUTAPIKA SANA PAMOJA NA TIBA YAKE

Doctor Ombeni

Published

on

95 Views
0 Comments

 MJAMZITO

• • • • 

CHANZO CHA MAMA MJAMZITO KUTAPIKA SANA PAMOJA NA TIBA YAKE


Tatizo la mama mjamzito kuhisi kichefuchefu na kutapika hujulikana kama Morning sickness,


Tatizo hili hupenda kutokea katika miezi mitatu ya mwanzoni ya ujauzito yaani First trimester hasa wiki ya 9 na kuendelea.


DALILI;


Tatizo la Morning sickness huambatana na dalili mbali mbali kama vile;


– Mama Mjamzito kuhisi kichefuchefu pamoja na kutapika mara kwa mara


– Mama mjamzito kuanza kuhisi harufu za tofauti


– Mapigo ya moyo kwenda mbio


– Mama mjamzito kutema sana mate kupita kiasi.


CHANZO CHA TATIZO HILI


✓ Hakuna sababu ya moja kwa moja kuhusu chanzo cha shida hii,ingawa wataalam wa afya huhusisha tatizo hili na;


• Mabadiliko ya vichocheo vya mwili ambayo hutokea kipindi cha ujauzito


• Lakini pia kwa watu wenye matatizo mengine kama vile; magonjwa ya kwenye tezi la thyroid au magonjwa ya ini


WANAWAKE AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA TATIZO HILI NI PAMOJA NA;


– Ambao wamewahi kusumbuliwa na tatizo hili kwenye mimba zilizopita


– Ambao husumbuliwa na tatizo la kuhisi kichefu chefu pamoja na kutapika mara kwa mara kabla hata ya kuwa na ujauzito


– Ambao wana mimba ya mapacha au watoto zaidi ya wawili


WAONE WATAALAM WA AFYA ENDAPO;


– unapata kichefuchefu na kutapika kupita kiasi


– unakojoa mkojo mdogo sana pamoja na mkojo kubadilika rangi na kuwa mweusi


– mapigo ya moyo yanabadika,unakosa pumzi,mwili kuishiwa na nguvu,kulegea n.k


– unahisi kizunguzungu kikali au kuzimia


– unaona marue rue 

N.K


MATIBABU YA TATIZO HILI


– zipo dawa mbali mbali ambazo mgonjwa huweza kupewa hospitalini endapo tatizo limezidi kama vile;


• vitamin B6 supplements au pyridoxine


• Doxylamine 

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


95 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

96
0