Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

magonjwa ya wanaume

IJUE SIRI YA KUPUNGUZA UZITO KWA HARAKA ZAIDI

Doctor Ombeni

Published

on

124 Views
0 Comments

Ili mmeng’enyo wa chakula ufanyike vizuri huhitaji mambo mengi sana na miongoni mwa mambo hayo ni kujishughulisha kwa mhusika katika kufanya kazi yoyote inayohitaji matumizi ya nguvu (physical activities).Wakati wa asubuhi na mchana,watu wengi huwa wapo busy katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku,haijalishi ni aina gani ya kazi unafanya,ile tu kuwa busy kidogo (hata kutembea tu) huusaidia sana mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika kumeng’enya na kuzitumia vizuri nguvu zinazozalishwa kupitia mlo huo.

–

Tofauti na ilivyo kwa mlo wa usiku,watu wengi sana wamezoea kupata chakula hiki dakika chache tu kabla hawajaenda kulala.Hii ni mbaya sana na pamoja na uwepo wa athari zingine,kuongezeka kwa uzito wa mwili na uwepo wa tatizo la kupatwa na choo kigumu huwasumbua sana watu.Unapokula chakula na kwenda kulala,miondoko ya misuli ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula hupungua sana hivyo kufanya chakula hiki kirundikane tumboni kwa muda mrefu,pia nguvu zinazozalishwa na chakula hiki huwa haziunguzwi kikamilifu.Usipokuwa unasumbuliwa na choo kigumu bila shaka tatizo la kuongezeka sana kwa uzito wa mwili litakukabili

–

Jitahidi upate mlo huu saa mbili hadi tatu kabla hujaenda kulala.Pilikapilika zozote zile bila kujalisha zinatumia nguvu kiasi gani ni muhimu sana katika kusaidia mmeng’enyo wa chakula chako.Hata kama utaamua kufanya mazoezi magumu kiasi gani,bila kubadili ratiba yako ya mlo wa usiku itakuwa ni ngumu sana kwako kuupata uzito unaouhitaji!

Cr: @hosymichael 


.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




124 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News5 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS7 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips11 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume15 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

125
0