afyatips
CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
AFYA YA UZAZI
• • • • •
CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
Tatizo la vidonda pamoja na miwasho sehemu za siri huweza kutokea kwa wanaume na wanawake pia,
Chat Nasi Whatsapp
"Ungana na Wasomaji zaidi ya 12,000 wanaopata huduma ndani ya afyaclass, Kama unachangamoto yoyote ya kiafya; Kwa Ushauri&Tiba tuwasiliane hapa kupitia WhatsApp, Kama huna Whatsapp tuma SMS au Piga +255758286584."
Chat WhatSapp Hapana tatizo hili huweza kuambatana na dalili zingine kama vile ngozi ya sehemu za siri kubadilika rangi na kuwa nyekundu sana kuliko kawaida,mithili ya mtu aliyeungua.
CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
– Tatizo la kuwa na vidonda sehemu za siri ambapo kwa wakati mwingine huambatana na miwasho mikali huweza kuchangiwa na sababu mbali mbali kama vile;
– Maambukizi ya Fangasi hasa jamii ya Candida Albicans
– Lakini pia maambukizi ya magonjwa mbali mbali ya zinaaa hasa maambukizi yanayosababishwa na kirusi cha HUMAN PAPILLOMA VIRUS au HPV
ambapo husababisha ugonjwa unaojulikana kwa kitaalam kama Genital Warts.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Ushauri,Elimu,Tiba
Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.
Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?
💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)


