Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

magonjwa

Ugonjwa wa Gambiense Sleeping Sickness,African Trypanosomiasis,chanzo,dalili na Tiba yake

Doctor Ombeni

Published

on

144 Views
0 Comments

Ugonjwa wa Gambiense Sleeping Sickness,African Trypanosomiasis,chanzo,dalili na Tiba yake

Ugonjwa huu hujulikana kama African Trypanosomiasis au kwa Jina lingine “sleeping sickness”

Jina la African Trypanosomiasis ni kwa sababu ya Ugonjwa huu kuwepo Afrika Hasa sub-Saharan Africa,

CHANZO CHA UGONJWA HUU NI NINI?

Ugonjwa huu husababishwa na parasites wadogo sana kutoka kwenye jamii ya Trypanosoma brucei,

Kisha kusambazwa na tsetse fly (Glossina species),

Wanyama wa kufugwa na wanyama wa msituni huweza kuhifadhi Parasite hawa, wanyama hao ni kama Nguruwe, Mbwa,mbuzi, n.k

Na pia Binadamu anaweza kuwa Main reservoir wa Infection hii.

Kuna Species mbili za Trypanosoma brucei;

(1)Trypanosoma brucei-gambiense

(2) Trypanosoma brucei-rhodesiense

T. b. gambiense wanasababisha African trypanosomiasis hasa kwenye eneo la western na central Africa wakati T. b. rhodesiense husababisha African trypanosomiasis hasa hasa kwenye eneo la eastern na southern Africa.

DALILI ZA UGONJWA HUU WA SLEEPING SICKNESS

Ugonjwa huu umepewa jina la Sleeping sickness kwa Sababu Dalili zake huweza kujumuisha matatizo ya Usingizi,

– Baada ya Mtu kung’atwa na tsetse fly anaweza kupata maumivu kisha kuwa na kidonda chekundu(red sore) ambacho huitwa chancre.

– Mtu kupata homa

– Mtu kupata maumivu makali ya Kichwa

– Mwili kutokutulia(irritability)

– Mtu kupata uchovu usio wa kawaida

– Mara nyingi Mtu wenye Ugonjwa huu wa Sleeping sickness hupata maumivu ya Misuli Pamoja na Joints

– Baadhi ya watu hupata vipele kwenye ngozi au Skin rashes

– Mtu kuwa kama amechanganyikiwa

– Wagonjwa wachache huweza Kuvimba Uso

– Na kama mgonjwa hajapata Tiba maambukizi haya huweza kuwa makali zaidi na kusababisha Kifo

MATIBABU YA UGONJWA HUU WA SLEEPING SICKNESS

Matibabu ya Ugonjwa huu hutegemea na aina ya maambukizi(T. b. gambiense au T. b. rhodesiense) pamoja na hatua ya Ugonjwa ulipofikia.

Dawa kama Pentamidine,suramin, melarsoprol, eflornithine, nifurtimox huweza kutumika.

144 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS9 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti4 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

145
0