Connect with us
Author 1 Author 2 Author 3 Author 4
Authors

afyatips

FAHAMU SABABU ZA KUKOSA HEDHI BAADA YA KUACHA KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO

Doctor Ombeni

Published

on

90 Views
0 Comments

HEDHI

• • • • • •

FAHAMU SABABU ZA KUKOSA HEDHI BAADA YA KUACHA KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO


Ili mtu aseme ana tatizo hili ni pale anapokosa period au anapata mzunguko usioeleweka baada kipindi cha miezi 6 tokea aache kutumia dawa za uzazi wa mpango.

Kwa kitaalamu hali hii inaitwa post pill amenorrhea.


Tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanawake wanaotumia dawa za uzazi wa mpango aslimia 2 hadi 3% wanapata hali hii.


TATIZO HILI HUTOKEAJE.

hii inatokana na kuathiriwa kwa utendaji kwazi wa tezi ya pituitari na dawa za uzazi wa mpango.


Katika mzunguko wa kawaida tezi ya pituitari huzalisha hormone chochezi ya mayai (follicle stimulating hormone) na hormone ya lutea (lutenizing hormone) ambazo hizi zinachochea kupevuka kwa mayai kwenye mfuko wa mayai (ovari).


 

Mayai yaliyokomaa huzalisha hormone ya estrogen. Pia hormone ya progesterone  huzalishwa baada ya yai lililopevuka kuachiliwa kutoka kwenye ovari. Kazi ya hormone hizi ni kuandaa mji wa mimba kupokea yai likirutubishwa na kutunza ujauzito. Kusipokuwa na kurutubishwa kwa yai ule utando ulioandaliwa hutoka kama damu ya hedhi.


Dawa za uzazi wa mpango zinakuwa na hormone za estrogen na progesterone. hivyo mwanamke anapotumia dawa za uzazi wa mpango zenye hormone hizi kiwango cha hormone hizi kwenye damu kinaongezeka na kufanya mwili kuhisi kuna kiwango cha kutosha cha hormone hizi hivyo kufanya tezi ya pituitari kuacha kuzalisha hormone chochezi ya mayai na hormone ya lutea.


Na kama tunavyojua yai haliwezi kupevuka kusipokuwa na hormone ya lutea na hormone chochezi ya mayai.


Mwanamke anapoacha kutumia dawa hizi inaweza kuchukua muda kwake kuanza kupevusha mayai na kupata siku zake kama kawaida.


Saa nyingi hali inaweza kuwa mtu anapata damu kidogo sana ya hedhi au mzunguko usioeleweka.


VIPIMO.

tatizo hili linaweza kugundulika kwa kupima kiwango cha hormone chochezi ya mayai (FSH) na hormone ya lutea kwenye damu.



90 Views
0 Comments

How we reviewed this article:

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

Health Topics Letters

QX
A

Makala za Herufi A (30)

C

Makala za Herufi C (90)

D

Makala za Herufi D (154)

F

Makala za Herufi F (144)

H

Makala za Herufi H (27)

J

Makala za Herufi J (104)

K

Makala za Herufi K (149)

M

Makala za Herufi M (350)

N

Makala za Herufi N (35)

S

Makala za Herufi S (76)

T

Makala za Herufi T (216)

U

Makala za Herufi U (294)

V

Makala za Herufi V (48)

LATEST POSTS

Afya News7 hours ago

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa DAWA nchini

TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika...

EVENTS8 hours ago

Waliofichua namna ubongo unavyofanya kazi watunukiwa tuzo ya Nobel

Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mfumo wa neva kutoka Marekani, Karl Deisseroth, pamoja na wanasayansi kutoka Ujerumani, Peter...

afyatips12 hours ago

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa

Vitu vya kufanya na kuzingatia kwa mtu mwenye uzito mkubwa na Presha kubwa Lakini wakati mwingine hupata dalili hii Uzito...

magonjwa ya wanaume16 hours ago

Kwanini mwanaume anamwaga mapema

Kwanini Mwanaume Anamwaga Mapema? (Premature Ejaculation) Kumwaga mapema au premature ejaculation (PE) ni hali ambapo mwanaume hufika kileleni na kutoa...

afyatips5 years ago

SABABU ZA MTU KUKONDA

KUKONDA • • • • • • SABABU ZA MTU KUKONDA sababu za mtu kukonda kuweza kuwa za moja kwa...

WHO2 days ago

WHO yatoa Taarifa Mpya kuhusu Kipindupindu, Homa ya Uti wa Mgongo na Tauni Duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mwenendo mpya wa magonjwa matatu ya bakteria yanayoweza kusababisha milipuko na vifo—kipindupindu (cholera), homa...

magonjwa2 days ago

Magonjwa 5 ya MOYO yanayoweza Kuua haraka

Magonjwa ya moyo na mishipa ni miongoni mwa sababu kubwa za vifo duniani. WHO inaeleza kuwa magonjwa ya moyo na...

FEATURES3 days ago

Rubani Asimulia Jinsi Alivyopambana Baada ya Kuchomwa Kisu na Rubani Mwenza Kwenye Ndege ya Flydubai

Rubani wa ndege ya Flydubai, Captain Smit Machchhar, amesimulia tukio la kutisha lililotokea ndani ya chumba cha marubani baada ya...

Hospital3 days ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha ukubwa wa tatizo...

Utafiti3 days ago

Maambukizi Yanayozuilika Yasababisha Moja Kati ya Kesi Nane za Saratani Duniani

Utafiti mpya wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), ambalo ni sehemu ya Shirika la Afya Duniani (WHO),...

91
0