Madaktari bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kutoa mawe kwenye kibofu cha mkojo cha Bw. Leonard Mhunda Mkazi wa Chamwino Mkoani Dodoma ambayo yalimtesa kwa takriban miaka...
Maumivu ya kichwa yanaweza kuanza kusumbua hadi kuudhi sana ambayo yanaweza kutatiza au kukwamisha kabsa shughuli zako za kila siku. Maumivu ya kichwa yanaweza kuwa chanzo...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Kanali Maulid Hassan Surumbu ameongoza katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani, Mkoani Mara katika Viwanja vya Mukendo...
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ametolewa pini kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa maalum chenye kamera...
Mwishoni mwa juma lililopita, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilimfanyia upasuaji kwa njia ya matundu madogo (Laparoscopic Hellers Myotomy)mtoto wa miaka saba ambaye alikua na tatizo...
Idara ya saratani Bugando imeadhimisha siku ya saratani za watoto duniani leo Februari 15,2024 kwa kutoa elimu kwa wazazi wa watoto wenye Saratani, maadhimisho haya yameambatana...
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya upasuaji wa kuweka mlango wa bandia kwenye moyo, hivyo kuwa Hospitali ya pili nchini kuanzisha huduma hiyo. Daktari Bingwa wa...
Bi. Nuru Mshana mkazi wa Ilala Dar es salaam ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kumtolea mtoto wake kipande cha plastiki ambacho kilikuwa kinamsumbua muda mrefu...
Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu...
Kubadilika kwa homoni na mabadiliko katika mzunguko wa damu kunaweza kupunguza shinikizo la damu wakati wa ujauzito, haswa katika miezi mitatu ya kwanza (trimester 1) na...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani...
Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo mkoani Dar es Salaam kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha watoto pacha waliokuwa wameungana sehemu ya...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeongeza kasi ya kutoa elimu na dawakinga kwa jamii ili kuyatokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo 2030. NA: WAF, Dar Es Salaam...
Madaktari Bingwa wa Upasuaji Mfumo wa Chakula Ini na Kongosho wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamemfanyia upasuaji mgonjwa mwenye umri wa miaka 48 na kutoa mawe...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kufanya usafi na kuzingatia matumizi sahihi ya vyoo Pamoja na kunywa maji safi na...
Watalaamu wa Magonjwa ya Mfumo wa Mapafu na Upumuaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo wamemtoa mama mwenye umri wa miaka 53, ganda la pipi kwenye...
Cameroon inazindua mpango wa kwanza duniani wa chanjo dhidi ya malaria. Chanjo ya RTS,S iliyoidhinishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni, iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount leo Januari 18, 2023 wamegawa zawadi ya vifaa vya kujifungulia (Delivery Kit) kwa Wajawazito waliofika hospitalini hapo kupata...
Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ikiwemo madhara ya...
Wanawake wengi hupata tatizo la kupoteza hamu ya kula wakati wa ujauzito. Mara kwa mara unaweza kupata chakula kisichopendeza, au unaweza kuhisi njaa lakini ukashindwa kula...
Hali ya joints kukakamaa baada ya kupumzika inaweza kuonekana kawaida, lakini kukakamaa kwa muda mrefu inaweza kuwa shida katika afya yako. Hali ya kukakamaa kwa joints...
Mtoto wa miezi mitano, Leonard Kubilu, amefariki baada ya kupigwa na baba yake mzazi, Kubilu Bayege, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Mji Mdogo wa Katoro wilayani...
Weka maji yako kwenye chombo kisafi chenye mfuniko. Zingatia:maji yakiwa ya tope yachujwe kwanza na kitambaa kisafi kisha yawekwe kwenye chombo chenye mfuniko. ✅Weka kidonge kimoja...
Zaidi ya mwanamke 1 kati ya 3 duniani mara nyingi hukutwa na matatizo ya kiafya pindi wanapojifungua hii inaweza kutokea ndani ya mwezi kulingana na utafiti...
Faida za Maji ya Limao yaliyochemshwa Maji ya limao yaliyochemshwa hutajwa mara nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali. Watu wengine wanadai kuwa inaweza kupunguza uzito,...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka Taasisi ya Saratani Ocean Road hadi kufikia Fubruari Mosi, 2024 mashine ya Pet-CT Scan iwe imeanza kutoa huduma kwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imerejesha tabasamu kwa Mkazi wa Mtwara Bi. Fadina Namponda aliyekatwa mikono miwili kwa panga na mtalaka wake...
Kuna uhusiano kati ya kinywa na mifumo tofauti ya mwili ikiwemo mfumo wa kinga mwilini, na hii inaonyesha umuhimu wa kuwa na kinga ya mwili imara...
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu...
Saratani ya tumbo: ni saratani inayoanzia kwenye seli zinazozunguka tumbo. Tumbo ni kiungo kilicho upande wa kushoto wa sehemu ya juu ya fumbatio ambacho huyeyusha chakula. Njia...