Inakadiriwa kuwa wasichana milioni 4.3 walikuwa hatarini kukabiliwa na ukeketaji mwaka 2023. Utafiti huo uliohusisha taarifa zilisowasilishwa na nchi pamoja na asasi za kiraia umebainisha kuwa...
Wanawake walivyopaza sauti kupinga ukeketaji Ethiopia Wasichana wadogo nchini Ethiopia wanachukua msimamo wa kijasiri dhidi ya mila mbaya ya Ukeketaji (FGM). Alipokuwa na umri wa miaka...