Connect with us

News

Wanawake walivyopaza sauti kupinga ukeketaji Ethiopia

Avatar photo

Published

on

Wanawake walivyopaza sauti kupinga ukeketaji Ethiopia

Wasichana wadogo nchini Ethiopia wanachukua msimamo wa kijasiri dhidi ya mila mbaya ya Ukeketaji (FGM).

Alipokuwa na umri wa miaka 18, Zekia aligundua kwamba wazazi wake walikuwa wakijitayarisha kwa siri kwa ajili ya dadake mkubwa kufanyiwa ukeketwaji.

“Kaka yangu alisikia kuhusu hilo na akajaribu kuwakataza, aliwakumbusha kuwa tabia hiyo imepigwa marufuku na akasema ingemweka kwenye matatizo mengi,” aliliambia, Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ya uzazi na uzazi UNFPA. “

Zekia alikuwa ameshuhudia kwa macho yake mchakato huo unavyoweza kusababisha maumivu.  “Ninataja daima ugumu ambao mpwa wangu alipitia alipojifungua.”

Ukeketaji wa wanawake ni kitendo cha ukatili wa kijinsia na ukiukaji unaotambulika kimataifa wa haki za binadamu, unaweza kusababisha hali nyingi mbaya, ikiwa ni pamoja na fistula ya uzazi inayosababishwa na kujifungua kwa shida, maambukizi, kutokwa na damu nyingi, majeraha ya kisaikolojia, na hata kifo.

Wazazi wake walipokataa kumsikiliza kaka yake, kka yake huyo aliripoti kesi hiyo kwa mamlaka wa eneo hilo, Kizazi kizima, jamii yao imejitolea kwa kile kinachoshikiliwa kama mila; lakini mfululizo mpya wa sheria ndogo ndogo na kampeni za uelewa zinavunja fikra hii na kuchochea vijana kama Zekia kupinga.

UNFPA inakadiria kuwa duniani kote mwaka 2024, karibu wasichana milioni 4.4, zaidi ya 12,000 kwa siku  wako katika hatari ya kukeketwa, utaratibu huo sio tu kwamba husababisha madhara ya kimwili na kiakili, lakini wasichana wengi hupoteza wiki za masomo wanapopata nafuu, na wengi zaidi hawarudi kabisa, hii inapunguza uwezo wao wa kielimu na nguvu kazi, ikipunguza uwezo wao wa kupata kipato na kuweka mizani ya haki kuwa nzito zaidi dhidi yao.

Shakira, 53, alivumilia masaibu ya kuhuzunisha alipofanyiwa Tohara (FGM) akiwa msichana mdogo. ..Shakira aliendelea kuwa mama wa watoto wa kike watano, wasichana watatu na kiume wawili.

Wakati ujao mzuri kwa wasichana wadogo

Kwa bahati nzuri kwa dada yake Zekia, hakuwa mmoja wao: Wakuu wa eneo hilo waliingilia kati na kusimamisha ibada hiyo isifanyike, na kuwaokoa dada wote wawili na kuwafanya kuwa miongoni mwa watu wa kwanza katika jamii yao kutofanyiwa kitendo hicho.

Ingawa hawakunyanyapaliwa na familia au marafiki, haikuwa jambo rahisi kwa wasichana hao, lakini kama mtetezi hai dhidi ya ukeketaji, Zekia alitumia ujuzi wake kuongeza ufahamu kuhusu hatari miongoni mwa wengine kote katika wilaya yake.

“Wanajamii wangu wameanza kufuata mfano, kuwaepusha binti zao na hilo.”

Kwa kiasi kikubwa vuguvugu la chinichini, linaloongozwa na walionusurika katika nchi kote ulimwenguni, wasichana leo wako karibu theluthi moja ya uwezekano wa kufanyiwa kitendo hicho ikilinganishwa na miaka 30 iliyopita.

Zekia alisema majadiliano na wanafunzi wenzake na walimu wa kike pia ni muhimu katika kubadilisha fikra “hakuna msichana hata mmoja katika shule yangu na kundi letu la umri wangu ambaye amefanyiwa hayo kama matokeo,” aliiambia UNFPA.

“Nazungumzia madhara katika maeneo ambayo wanawake wanakusanyika, kama vile kwenye vituo vya kuchotea maji, viwanda vya kusaga unga na masoko,” alisema, akiongeza kuwa wanaume na wavulana pia wanajiunga na baadhi ya mijadala.

Wengi wa walionusurika ambao Zekia amekutana nao sasa wanapinga, pamoja na ukiukaji wa wanawake, pia haki za binadamu kama vile ndoa za utotoni, ambayo ni ya kawaida katika eneo hilo.

Ni mtindo mwingine Zekia na dada zake wamedhamiria kubadilisha “ingawa ana zaidi ya miaka 18, dada yangu bado hajaolewa kwani anataka kumaliza shule ya sekondari, hili lingekuwa jambo lisilowezekana miaka michache iliyopita.” anasema.

“Na nimedhamiria kuendelea na masomo yangu pia na kuwa daktari siku moja”.

Shakira, 53, alivumilia masaibu ya kuhuzunisha alipofanyiwa Tohara (FGM) akiwa msichana mdogo.

Jitihada za kimfumo

Mpango wa Pamoja wa UNFPA-UNICEF unafanya kazi katika nchi 17 ili kutokomeza ukeketaji na umezindua mipango katika wilaya nne katika eneo la Kati la Ethiopia, Dalocha ina mojawapo ya viwango vya juu zaidi vya mila hiyo nchini Ethiopia, ambapo karibu asilimia 76 ya wanawake na wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 49 walifanyiwa hivyo mwaka 2000; kufikia 2016, hii ilishuka hadi zaidi ya asilimia 60.

Kufikia mwaka jana, Mpango wa Pamoja ulisaidia zaidi ya vikundi 11,000 vinavyofanya kazi dhidi ya ukeketaji duniani kote, ambapo asilimia 83 yalikuwa mashirika ya ndani yanayoshirikiana na vuguvugu zinazoongozwa na walionusurika na kutetea mabadiliko ya kisheria, kisiasa na muhimu zaidi mabadiliko ya kijamii.

Mojawapo ya vikundi hivi ni Ofisi ya Kikanda ya Masuala ya Wanawake na Watoto, ambayo inapambana na mila hatarishi pamoja na sekta za afya na elimu na vyombo vya kisheria. Nuritu Sirbar ni mkuu wa ofisi hiyo, anaeleza jinsi wanajamii yenye ushawishi mkubwa, wakiwemo viongozi wa dini na watendaji wa zamani, walivyojitokeza.

“Kuna maendeleo, sasa tunasajili wasichana wote katika shule ya chekechea na kufanya kazi na wazazi wao ili kuhakikisha kwamba hawapitii hilo, pia tunafanya kazi na vikundi vya vijana na shule, kuongeza ufahamu miongoni mwa wavulana na wanaume vijana pia,” Bi Sirbar alisema.

“Nilijua ni kwa nini tulilazimisha ukeketaji, lakini nilipoulizwa kwenye mkutano, sikuwa na jibu zuri la kutosha, Kwa mara ya kwanza, niligundua kwamba hatuwezi kutetea mila hiyo kwa kusema tu kwamba ni mila, vijana huuliza kwa nini na kutafuta jibu katika sayansi, si katika hadithi za kale,” alisema Simrimula Hamiza, Mzee katika jamii.

Na ingawa inaweza kuchukua muda kwa kizazi kipya kuibuka kikamilifu, “kuna mabadiliko angani.” Aliongeza Bi Sirbar.

Via:UN

Soma Zaidi hapa;

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa4 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa5 days ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa3 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa4 weeks ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa4 weeks ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Magonjwa1 month ago

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake Karibu! Hapa kwa makala yenye taarifa muhimu kuhusu...

Magonjwa1 month ago

Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga

“Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga” Kifo cha ghafla ni janga lisilotarajiwa ambalo linaweza kumpata...

Trending