Mimba Kutungwa Nje ya Mfuko wa Uzazi?( Ectopic Pregnancy) Zaidi ya asilimia 95% ya mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi huwa katika mirija ya...
WANAWAKE KULALA CHALI WAKATI WA UJAUZITO. Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kupata matatizo mbali mbali kutokana na kubonyeza mshipa mkubwa unaojulikana kama...
WATOTO MAPACHA KWA KITAALAM “TWINS” Kuna Mapacha wa aina mbili. Pacha wanaofanana (identical twins) na pacha wasiofanana (Fraternal twins). Pacha wanaofanana si rahisi sana kupatikana hivyo...
➡️ UGONJWA WA CHLAMYDIA Chlamydia ni ugonjwa unaowapata watu wengi na unaenezwa kwa ngono. Ni ugonjwa unaoshambulia jinsia zote na mara nyingi hauonyeshi dalili zo zote....
VISABABISHI VYA MIMBA KUHARIBIKA a) Asilimia 50-70% ya mimba zote zinazoharibika zenyewe wakati wa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito hutokana na matatizo ya kiasili au...
MABADILIKO KIPINDI CHA UJAUZITO?✔⛔. Mambo mengi sana hubadilika mwanamke akiwa mjamzito tofauti na hapo mwanzo kabla ya ujauzito. . Baadhi ya Mambo hayo ni kama ulaji...
Yai la mwanamke(ovum) linapotoka kwenye vifuko vyake(ovaries) ambapo kitendo hicho kitaalam huitwa “OVULATION” na kuingia kwenye mirija ya uzazi yaani Fallopian tubes,Ndipo huanza kukutana na mbegu...
Je, kuvuja damu mapema katika ujauzito ni nini? Kuvuja damu kabla ya wiki 28 za ujauzito hudhaniwa kuwa ni kuvuja damu mapema katika ujauzito. Ikitokea baada...
Mimba za Utotoni(Teenage Pregnancy). Kwa Tanzania tunaweza tukasema ukipata mimba chini ya Miaka 18 upo kwenye kundi hili la mimba za utotoni. . Point yangu ni...
?Msongo wa mawazo baada ya mama Kujifungua ambao huambatana na tabia za kutaka kujiua”Severe depression accompanied with suicidal behavior”.? . DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA...