Tukio la kuzama kwa meli iitwayo MV Maman Benita. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa taarifa kuhusu tukio la kuzama kwa meli iitwayo MV...
Kupatwa kamili kwa jua kutashuhudiwa leo katika bara la Amerika Kaskazini. Mwezi utapita mbele ya Jua na kupunguza mwanga wa Jua hadi kutoonekana kwa muda na...
Mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994;Waliuawa wote nikabaki peke yangu: Nathalie Uwamaliya Nathalie Uwamaliya, manusura wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994, akizungumza na...
Mwigizaji Victor ‘Nkubi’ Nwaogu na mkewe Vivian wapata mtoto wao wa kwanza. Mwigizaji wa nchini Nigeria Victor ‘Nkubi’ Nwaogu na mkewe Vivian wamempokea mtoto wao wa...
Upasuaji kwa njia ya tundu dogo wa kurekebisha mishipa ya damu iliyotanuka wafanyika Kwa mara ya kwanza wataamu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)...
Mwanaume wa Zambia ajiua baada ya kumuua mkewe. Mfanyakazi wa zamani wa benki, Mike Ilishebo, 44, anadaiwa kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 35, Valerie Franco,...
Mgonjwa aitwae Richard Slayman (62) aliyepandikizwa figo ya Nguruwe iliyobadilishiwa vinasaba, ameruhusiwa kutoka hospitalini ikiwa ni siku kadhaa tu toka alipofanyiwa upasuaji huo March 2024 katika...
Shirika la Afya Duniani WHO Laingiza zaidi ya tani 50 za vifaa vya matibabu Sudan #PICHA; Vifaa vya matibabu vinatayarishwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye Milima...
NEW! Sarafu ya Sh100 yatolewa kooni kwa mtoto. Wataalamu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma, wamefanikiwa kuitoa sarafu ya Sh100 iliyokuwa imekwama kwenye koo...
Tuwezeshe wenye usonji wastawi katika jamii zao- Guterres Wanafunzi katika shule ya watoto wenye usonji katika kituo cha jamii cha kujifunza Kenya, KCCL wakiwa kwenye picha...
Pasaka ni nini?,Nawatakia pasaka njema, happy easter 2024 Asante sana kwa kuwa Mdau muhimu ndani ya @afyaclass, tunakuthamini na tunakutakia sikukuu njema ya Pasaka. Pasaka ni...
Mapacha walioungana Abby na Brittany Hensel wavunja ukimya baada ya picha za harusi ya Abby kusambaa mitandaoni. Abby na Brittany Hensel wamevunja ukimya baada ya Picha...
Tukiimarisha ubora wa huduma za afya ya mama na mtoto tutapunguza vifo vitokanavyo na uzazi Na. WAF – Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya...
Sita wakimbizwa hospitalini kwa kula chakula chenye Sumu Gerezani. Watu sita wamekimbizwa hospitalini baada ya kula mlo mmoja katika gereza la Lewes huko Sussex, Uingereza. Kwa...
Afariki ghafla akichimba kaburi la bibi kizee #PICHA:Kaburi alilokuwa akichimba Peter Simon kabla ya kufikwa na mauti katika makaburi yaliyopo mtaa wa Mkoani Mjini Geita. Tukio...
Tyson Fury afichua lishe yake mpya ambayo ilichochea mabadiliko ya mwili wake wakati akijiandaa kwa pambano la Usyk. Bingwa wa ndondi uzito wa juu, Tyson Fury...
Bilioni 980 kutolewa na Marekani ili kupambana na VVU na UKIMWI hapa nchini. SERIKALI YA MAREKANI KUIPA TANZANIA BILIONI 980 KUTEKELEZA VIPAUMBELE Na. WAF – Dar...
Wanaume wawili wagundua kuwa walibadilishwa wakati wa kuzaliwa baada ya kufanya kipimo cha DNA. Wanaume wawili wa Kanada ambao waligundua kuwa walibadilishwa wakati wa kuzaliwa baada...
MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA WAJENGA UWEZO KWA WATUMISHI WA AFYA MOROGORO Na WAF, Morogoro Madaktari bingwa wa Mama Samia wamefanya kazi ya kujenga uwezo kwa...
Vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga vimepungua na kufikia 104 katika kila vizazi hai laki moja. “Vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga vimepungua na...