#PICHA:Mwanaume aliyejeruhiwa amelazwa kwenye kitanda katika hospitali ya Gaza European hospital toka mwishoni mwa Disemba. Madaktari kote Gaza wanafanya upasuaji kwa wagonjwa bila ganzi, Madaktari wa Gaza...
Vita vya Isreal-Hamas: Mtangazaji wa habari wa Israeli amebeba bunduki akiwa hewani kwenye studio (Picha). Mtangazaji wa habari wa Israel alionekana akiwa na bunduki moja kwa...
WHO:Hatari kubwa ya Magonjwa ya mlipuko Kusambaa Gaza. Shirika la Afya Duniani WHO linaangaza athari mbaya za mzozo unaoendelea likisema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya...
PICHA: Mvulana mwenye umri wa miaka 3, ambaye nyumba yake ilishambuliwa kwa bomu, anapata nafuu katika hospitali ya Nasser baada ya kukatwa sehemu ya mguu wake...
Israel Yaomboleza Vifo Vya Mateka Wa Israel Waliouawa Kimakosa Na Jeshi Lake Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyataja mauaji ya mateka hao kuwa ni “janga...
Serikali ya Israel yaijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuawa na Hamas. Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel aliuawa...
Serikali ya Israel imethibitisha utambulisho wa watu wawili kutoka Tanzania wanaoaminika kushikiliwa na Hamas tangu shambulio la Oktoba 7 dhidi ya jamii za kusini mwa Israel,...
TANZIA: Mtanzania alietekwa nchini Israel Afariki dunia Mmoja kati ya wanafunzi wawili wa Tanzania waliotekwa na wapiganaji wa Hamas wakati wa uvamizi wao Israel amefariki. Mmoja...
Bassam Aramin, Mwislamu wa Kipalestina, na Rami Elhanan, Myahudi wa Kiisraeli, walipoteza binti zao wachanga katika vita vya Mashariki ya Kati. Wote wawili wanaishi Israeli, ambako...
Vita vya Israel na Hamas: Hakuna usitishaji mapigano kwa muda bila mateka wetu kuachiliwa – Netanyahu. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anasema amemwambia Waziri wa...