#PICHA:Mama na bintiye wanapokea huduma katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza mnamo Aprili 2024. Huku mashambulizi ya mabomu yanayofanywa na jeshi la Israel yakiendelea...
#PICHA:Mwanaume aliyejeruhiwa amelazwa kwenye kitanda katika hospitali ya Gaza European hospital toka mwishoni mwa Disemba. Madaktari kote Gaza wanafanya upasuaji kwa wagonjwa bila ganzi, Madaktari wa Gaza...
Wakati imepita usiku wa manane huko London, 02:00 asubuhi huko Gaza na Israeli, na 03:00 nchini Uturuki – ambapo mwanadiplomasia mkuu wa Marekani amewasili kwa mazungumzo...
Misri kuwezesha uhamisho wa watu 7,000 wa kigeni kutoka Gaza Misri inataka kuwezesha uhamisho wa wageni 7,000 walio na uraia kutoka nchi 60 huko Gaza kupitia...
Vita vya Israel na Hamas: Hamas yaapa kurudia mashambulizi ya Oktoba 7 na kuleta ‘maangamizi’ ya Israeli. Kiongozi wa Hamas ametoa onyo kwamba mauaji ya kikundi cha kigaidi ya Oktoba...
Vita vya Isreal na Hamas: Wakati wa kuhuzunisha pale ambapo mwanahabari wa Al Jazeera alipogundua kuwa mke na watoto wake waliuawa katika mashambulizi ya anga alipokuwa...