Connect with us

Magonjwa

TATIZO LA MTOTO WA JICHO-Cataract(mtoto wa jicho husababishwa na nini,Tiba Yake)

Avatar photo

Published

on

TATIZO LA MTOTO WA JICHO-Cataract(mtoto wa jicho husababishwa na nini,Tiba Yake)

Dawa ya mtoto wa jicho,chanzo,dalili za mtoto wa jicho ni zipi?

Mtoto wa jicho ni tatizo ambalo kwa kitaalam hujulikana kama CATARACT, tatizo hili huhusisha kutokea kwa Wingu kwenye lens za jicho lako. Hali ambayo husababisha mtu kutokuona vizuri,kuona wingu mbele(Clouded vision) n.k.

DALILI ZA MTOTO WA JICHO NI PAMOJA NA;

– Mtu kutokuona vizuri,kuona marue rue,kuona wingu mbele(Clouded vision) n.k

– Kupata shida ya kuona sana hasa wakati wa Usiku

– Jicho kuwa na Mwanga hafifu sana(Dim vision)

– Kushindwa kufanya chochote kama vile kusoma n.k pasipokuwa na Mwanga wa kutosha(brighter light)

– Mtu kuanza kuona kila rangi imefifia(Fading) au kuona unjano kwenye rangi(yellowing of colors)

– Kuona mara mbili kwenye jicho moja(Double vision in a single eye) n.k

AINA ZA MTOTO WA JICHO(CATARACT)

1. Aina ya mtoto wa jicho ambayo huathiri katikati(center) ya Lens, aina hii hujulikana kama NUCLEAR CATARACTS.

2. Aina ya mtoto wa jicho ambayo huathiri kwenye Kingo(edges) za Lens, aina hii hujulikana kama CORTICAL CATARACTS.

3. Aina ya mtoto wa jicho ambayo huathiri nyuma ya Lens, aina hii hujulikana kama POSTERIOR SUBCAPSULAR CATARACTS.

4. Aina ya mtoto wa jicho yakuzaliwa nayo, aina hii hujulikana kama CONGENITAL CATARACTS.

CHANZO CHA MTOTO WA JICHO NI NINI?

• Kwa asilimia kubwa tatizo la mtoto wa jicho hutokea baada ya mtu kuzeeka(aging) au kuumia kwenye jicho ambako huweza kuleta mabadiliko makubwa ya tissues zinazounda LENS za macho.

Nyuzi nyuzi(Fibers) pamoja na Proteins kwenye Lens huanza kuvunjika na kusababisha hali ya kuona ukungu au mawingu kwenye macho(Clouded vision).

• Baadhi ya matatizo ya kurithi(inherited genetic disorders) huweza kuongeza uwezakano wa mtu kupata tatizo la Mtoto wa jicho.

• Sababu zingine ni pamoja na;

– jicho ambalo hapo nyuma lilifanyiwa upasuaji yaani Past eye Surgery huwa kwenye hatari ya kupata mtoto wa jicho(Cataract)

– Mtu Kuwa na matatizo mengine kama vile Ugonjwa wa kisukari(diabetes) n.k

– Matumizi ya dawa jamii ya STEROIDS au corticosteroid kwa muda mrefu sana huweza kusababisha tatizo la Mtoto wa jicho.

WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA TATIZO LA MTOTO WA JICHO NI PAMOJA NA;

1. Watu wenye umri mkubwa au Wazee

2. Watu wenye ugonjwa wa Kisukari

3. Watu ambao hukaa kwenye Mwanga mkali kama wa jua n.k kwa muda mrefu

4. Watu ambao huvuta Sigara

5. Watu ambao wana shida ya uzito mkubwa(Overweight/Obesity)

6. Watu wenye ugonjwa wa Presha ya kupanda(High blood pressure)

7. Watu ambao wameshawahi kuumia kwenye macho,kupata uvimbe wa macho au kuwahi kufanyiwa upasuaji wa macho(past eye surgery)

8. Watu ambao wametumia dawa jamii ya STEROIDS au corticosteroid kwa muda mrefu

9. Watu ambao wanakunywa Pombe kupita kiasi n.k

MATIBABU YA TATIZO LA MTOTO WA JICHO,

Kama mgonjwa kapewa miwani(prescription glasses) lakini hazikumsaidia chochote,Tiba kubwa ya tatizo hili ni UPASUAJI(Surgery).

ZINGATIA MAMBO HAYA;

– Jenga utaratibu wa kufanya checkup ya macho mara kwa mara hasa pale unapoona hali yoyote ya tofauti kwenye macho yako

– Acha kabsa uvutaji wa Sigara

– Epuka matumizi ya Pombe kupita kiasi

– Dhibiti magonjwa mengine kama vile ugonjwa wa Sukari,Presha n.k

– Pata mlo kamili kila siku(Balance diet)

– Vaa protective eye glasses kama unafanya kazi zinazohusisha mwanga mkali kama vile kuchomelea n.k

– Dhibiti tatizo la Uzito mkubwa(overweight/Obesity)

– Epuka matumizi ya muda mrefu ya dawa jamii ya STEROIDS au corticosteroid N.K

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa5 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa2 days ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa6 days ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa3 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa4 weeks ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa4 weeks ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Magonjwa1 month ago

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake Karibu! Hapa kwa makala yenye taarifa muhimu kuhusu...

Magonjwa1 month ago

Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga

“Vyanzo Vya Kifo cha Ghafla: Sababu Zinazotisha na Jinsi ya Kujikinga” Kifo cha ghafla ni janga lisilotarajiwa ambalo linaweza kumpata...

Trending