Connect with us

Magonjwa

vyakula vya mama anayenyonyesha,Soma zaidi hapa kufahamu

Avatar photo

Published

on

vyakula vya mama anayenyonyesha,Soma zaidi hapa kufahamu

Ni muhimu sana kwa mama anayenyonyesha kufahamu kuhusu Lishe bora katika kipindi hiki, kwani Lishe bora kwake ni msaada hata kwa Mtoto wake anayenyonya,

mfano: Moja ya vyakula vya mama anayenyonyesha ni pamoja na vyakula vyenye Vyanzo vya protini kwa wakina mama wanaonyonyesha, n.k

Kwa kulitambua hilo,katika Makala hii tumechambua baadhi ya vyakula vya mama anayenyonyesha ili kumsaidia yeye pamoja na mtoto wake;

vyakula vya mama anayenyonyesha

Soma hapa kufahamu baadhi ya vyakula vya mama anayenyonyesha;

1. Unahitajika kula zaidi kidogo ukilinganisha na mama ambaye hanyonyeshi, ili upate nguvu za kutosha pamoja na Virutubisho kwa ajili ya kuzalisha Maziwa zaidi,

Unahitaji ongezeko la Calories 330 mpaka 400 calories kwa Siku, ili kukupa nguvu(energy) pamoja Virutubisho(nutrition) ili kuzalisha Maziwa zaidi.

Hivo ili kupata extra calories, lazima ule vyakula vyenye wingi wa Virutubisho hivo, kama vile;

  • kipande cha mkate wa nafaka nzima
  • na kijiko kikubwa (karibu gramu 16) cha siagi ya karanga,
  • ndizi kiasi
  • Pamoja na karibu gramu 227 za mtindi(yogurt)

Hivo basi, hivi ni baadhi ya vyakula vya mama anayenyonyesha

2. Kula Vyakula ambavyo vitasaidia kuzalisha Maziwa mengi Zaidi na yenye ubora,

Miongoni mwa vyakula vya mama anayenyonyesha ni pamoja na vyakula vya kumsaidia azalishe Maziwa mengi Zaidi,

Hapa nazungumzia vyakula vyenye Vyanzo vya protini kwa wakina mama wanaonyonyesha, mfano;

  • nyama,
  • mayai,
  • maziwa,
  • maharagwe,
  • dengu
  • Pamoja na vyakula vya baharini(seafood) kama vile Samaki,dagaa ambazo hazina zebaki. n.k.

Pia usisahau kula Matunda Pamoja na mboga za Majani.

3. Kula vyakula tofauti tofauti wakati wa Kunyonyesha,

hii inaweza Kusaidia kubadilisha ladha ya Maziwa, na kumfanya mtoto kupata ladha tofauti tofauti, hali ambayo itamsaidia kutokupata shida hata itakapofikia hatua ya kumpa vyakula tofauti tofauti.

4. Moja ya vyakula vya mama anayenyonyesha ni pamoja na vyakula vyenye kiwango cha kutosha cha Vitamins,

kama vile mboga za Majani n.k

5. Hakikisha unakunywa Maji ya kutosha

6. Epuka vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Sukari,Chumvi, pamoja na vinywaji vyenye Caffeine nyingi,

7. Hakikisha vyakula vya mama anayenyonyesha vina Virutubisho hivi muhimu;

  • Madini chuma,
  • Proteins,
  • Pamoja na Calcium,

• Vyanzo bora vyenye Madini chuma ni pamoja na;

  • Samaki
  • Dagaa
  • nyama
  • nafaka- enriched cereals,
  • mboga za majani-leafy green vegetables,
  • peas,
  • pamoja na matunda yaani dried fruit kama vile raisins. n.k

Pia kula vyakula vyenye Kiwango kikubwa cha Vitamin C ili kusaiida ufyozwaji mzuri wa madin chuma, hivo  tumia vitu kama matunda ambayo ni jamii ya Citrus fruits kama vile machungwa n.k

• Vyakula bora vyenye Proteins ni pamoja na;

  • nyama,
  • mayai,
  • maziwa,
  • maharagwe,
  • dengu
  • Pamoja na vyakula vya baharini(seafood) kama vile Samaki,dagaa ambazo hazina zebaki. n.k.

• Vyakula bora vyenye Calcium ni pamoja na;

  • Maziwa ya ng’ombe-cow’s milk au vitu vyovyote vyenye maziwa ndani yake yaani dairy products
  • Kula mboga za majani-dark green vegetables.
  • Pamoja na vitu vingine kama vile juices, nafaka(cereals), soy milk, n.k

8. Pia unaweza kupata Virutubisho mbali mbali(supplements).

Hasa vyenye Vitamins kama vile vitamin B-12 supplement n.k.

9. Epuka kabsa matumizi ya Pombe, hakuna kiwango Sahihi cha pombe kwa mama anayenyonyesha,

hivo acha kabsa kutumia Pombe kama unanyonyesha kwa ajili ya afya yako na mtoto wako.

10. Epuka kunywa Vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha Caffeine,

Epuka kunywa zaidi ya vikombe 2 mpaka 3 vya kahawa kwa siku.

FAQs; Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, Mama anayenyonyesha anaruhusiwa kunywa Pombe?

Hapana, hakuna kiwango sahihi cha pombe ambacho kinaruhusiwa kwa mama anayenyonyesha, acha kabsa pombe kama unanyonyesha.

je, vyakula vya mama anayenyonyesha ni vipi?

Vyakula bora kwa mama anayenyonyesha ni pamoja na vyakula vyenye wingi wa proteins,madini chuma, calcium,vitamins, n.k

Hitimisho

Ni muhimu sana kufahamu vyakula vya mama anayenyonyesha, hii itakusaidia kuzalisha maziwa mengi zaidi na kwa ubora unaohitajika kwa afya yako pamoja na mtoto wako,

epuka tabia hatarishi kama vile; kunywa pombe,kuvuta Sigara, kutumia dawa hovio pasipo maelekezo kutoka kwa wataalamu wa afya, au Imani potofu kama za kupaka baadhi ya dawa kwenye chuchu n.k

kwa kuzingatia haya,tutajenga afya bora kwa mama na mtoto pia.

Hivo basi, Zingatia vyakula vya mama anayenyonyesha, Soma zaidi ili kufahamu.

AU KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa5 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa2 days ago

kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani

kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani Unapopata tatizo la kuharisha na kutapika kwa wakati mmoja unaweza kuwaza sana,...

Magonjwa4 days ago

Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu

Dalili za infection kwenye damu Mchafuko wa damu,chanzo,dalili na Tiba Mchafuko wa damu; hiki ni kiswahili ambacho watu wamezoea kukitumia...

Magonjwa7 days ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa2 weeks ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa4 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa4 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa1 month ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa1 month ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Trending